MSAADA WAHITAJIKA KWA MAPACHA WALIOUNGANA
![](http://2.bp.blogspot.com/-SYu-fglh-Y4/VlCyJ1dNIwI/AAAAAAAIHrk/8Kk5ZmPkIT4/s72-c/0a71d082-9c10-4605-923a-0e0777004614.jpg)
Hawa watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15 mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani kwenye boda boda akitokea kijiji cha Nyarurema Tarafa ya Rulenge Wilaya ya Ngara akielekea hopitali ya misheni Rulenge. Alipopata uchungu wa kuzidi alimuomba bodaboda asimame akaweza kujifungua kwa shida mbele ya mumewe anaeitwa Hamdani hapo njiani.Baada ya hapo wakapelekwa hospitali ya misheni Rulenge. Mama na watoto wako salama, kama unavyo ona katika picha wameungana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Msaada wahitajika kwa Watoto Mapacha walioungana!
Pichani ni watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15 mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani kwenye boda boda akitokea kijiji cha Nyarurema Tarafa ya Rulenge Wilaya ya Ngara akielekea hopitali ya misheni Rulenge.
Alipopata uchungu wa kuzidi alimuomba bodaboda asimame akaweza kujifungua kwa shida mbele ya mumewe anaeitwa Hamdani hapo njiani.
Baada ya hapo wakapelekwa hospitali ya misheni Rulenge. Mama na watoto wako salama, kama unavyo ona katika picha...
10 years ago
Michuzi17 Dec
mapacha kutoka Tanzania walioungana watenganishwa kwa mafanikio nchini India
![Picture1-swahili](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/Picture1-swahili.jpg)
10 years ago
Vijimambo17 Dec
MAPACHA WALIOUNGANA WATENGANISHWA
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/Picture1-swahili.jpg)
Watanzania waendelea kufaidika kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyoko nchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumboni kutoka nchini Tanzania katika upasuaji uliofanyika tarehe 17 Novemba 2014 nchini India. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na upasuaji uliofanyika na hospitali Apollo ulikuwa wenye mafanikio na wa aina yake.
Mapacha...
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Hospitali ya Apollo yafanikiwa kutenganisha mapacha kutoka Tanzania walioungana
Watanzania waendelea kufaidika kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyoko nchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumboni kutoka nchini Tanzania katika upasuaji uliofanyika tarehe 17 Novemba 2014 nchini India. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na upasuaji uliofanyika na hospitali Apollo ulikuwa wenye mafanikio na wa aina yake.
Mapacha...
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Msaada wa chakula wahitajika Ethiopia
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-10JxlHGicaQ/VRveT2Z4Y7I/AAAAAAAHOw4/sZmHrocx1C0/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MKOANI KIGOMA, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-10JxlHGicaQ/VRveT2Z4Y7I/AAAAAAAHOw4/sZmHrocx1C0/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zuwena Abdu (29) jana amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika Hospital ya Mkoa wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema kuwa watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni watatu na mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama kwa njia...
11 years ago
GPLALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA