Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msaada wa chakula wahitajika Ethiopia

Zaidi ya watu milioni 8 nchini Ethiopia wanahitaji msaada wa dharura wa chakula kutokana na hali kali ya kiangazi ambayo imekumba baadhi ya maeneo ya taifa hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MSAADA WAHITAJIKA KWA MAPACHA WALIOUNGANA

Hawa watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15  mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani kwenye boda boda akitokea kijiji cha Nyarurema Tarafa ya Rulenge Wilaya ya Ngara akielekea hopitali ya misheni Rulenge. Alipopata uchungu wa kuzidi alimuomba bodaboda asimame akaweza kujifungua kwa shida mbele ya mumewe anaeitwa Hamdani hapo njiani.Baada ya hapo wakapelekwa hospitali ya misheni Rulenge. Mama na watoto wako salama, kama unavyo ona katika picha wameungana...

 

9 years ago

Dewji Blog

Msaada wahitajika kwa Watoto Mapacha walioungana!

0a71d082-9c10-4605-923a-0e0777004614

Pichani ni watoto Zahra na Zarina wamezaliwa pacha walioungana tarehe 16/11/15  mama yao Bi Tausi Hageze akiwa njiani kwenye boda boda akitokea kijiji cha Nyarurema Tarafa ya Rulenge Wilaya ya Ngara akielekea hopitali ya misheni Rulenge.

Alipopata uchungu wa kuzidi alimuomba bodaboda asimame akaweza kujifungua kwa shida mbele ya mumewe anaeitwa Hamdani hapo njiani.

Baada ya hapo wakapelekwa hospitali ya misheni Rulenge. Mama na watoto wako salama, kama unavyo ona katika picha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu milioni 10 wanahitaji chakula Ethiopia

Serikali ya Ethiopia imeonya kuwa watu milioni 10 wanakabiliwa na baa la njaa kufuatia ukame mkubwa uliokumba maeneo mengi nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

WFP kupunguza msaada wa chakula Uganda

Shirika la chakula duniani WFP limetangaza kuwa litapunguza kwa nusu kiwango chake cha msaada wa chakula nchini Uganda

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Raia hawana msaada wa chakula S Kusini

UN inasema kuwa mamia ya maelfu ya raia hawana msaada wa kuokoa maisha yao kufuatia kuondolewa kwa msaada wa kibinaadamu

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge aomba chakula cha msaada Kwimba

WILAYA ya Kwimba inakabiliwa na njaa, hali ambayo mbunge wa Sumve , Richard Ndassa ameomba Serikali kuwaletea wananchi chakula cha msaada.

 

9 years ago

BBCSwahili

Somalia:7 wauawa wakisubiri chakula cha msaada

Polisi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu wameripotiwa kuua watu saba wakati wa shuguli ya mgao wa chakula cha msaada katika kambi moja ya wakimbizi.

 

10 years ago

Michuzi

TTCL yakabidhi msaada wa chakula kwa wahanga wa mafuriko Kahama

Kampuni ya Simu Tanzania(TTCL) yakabidhi msaada wa chakula kwa wahanga wa mafuriko Kahama. Msaada uliotolewa ni pamoja na mchele kilo 740, unga kilo 600, maharage kilo 300 na mafuta ya kupikia lita 260.
Msaada huo umekabidhiwa na Meneja wa TTCL mkoa wa Shinyanga Peter Kuguru kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Dkt. Kamugisha Kazaura.
Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo, Meneja wa TTCL Bw. Peter Kuguru alisema TTCL inawapa pole sana wahanga wa tukio hilo na...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAKIMBIZI NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kupokea msaada wa chakula kwa ajili ya Wakimbizi wa Kambi ya Nyarugusu, mkoani Kigoma chenye thamani ya Dola ya Marekani 1.4 sawa na zaidi ya Shilingi 2.3 Bilioni, ambazo zimetolewa na Serikali ya Japan. Kushoto ni Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada na Mkurugenzi Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP), Richard Regan. Waziri Chikawe alipokea msaada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani