Msaidizi wa Mandela azua ubaguzi
Ujumbe alioandikwa katika mtandao wa twitter ulionyesha alikuwa akipuuza ubaguzi wa rangi na ukolini miongoni mwa raia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XS0VdRDz2qA/U2NPpWh4jmI/AAAAAAAFe2A/IyWNMyNtB7c/s72-c/unnamed.png)
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba
10 years ago
Uhuru Newspaper21 Apr
Msaidizi wa Gwajima kortini
NA FURAHA OMARY
MSAIDIZI wa Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, George Mzava, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mzava (43), mfanyabiashara na mkazi wa Ilala, Dar es Salaam, alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka ya kukutwa na bastola ya kiongozi huyo na risasi kinyume cha sheria.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka, alimsomea Mzava mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi, Wilfred Dyansobera, baada ya mshitakiwa huyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5vBx3EI3-TGuACKeOvsYpeaLp78LUG2WoHOSqEnmfEkh2NkgnQswYI6HQGNutsPoez3VwKjpI5NcNnr0SQayROBU5WrZWUsJ/1.jpg)
Yanga SC yamkataa msaidizi wa Maximo
9 years ago
Mtanzania15 Oct
JK azua taharuki
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
RAIS Jakaya Kikwete, amezua taharuki baada ya kutaja idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuliko waliotajwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Akizungumza mjini Dodoma jana wakati wa kilele cha sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Rais Kikwete alisema Watanzania wanaotarajia kupiga kura kwa upande wa Tanzania Bara ni milioni 28 na...
10 years ago
Habarileo17 Jul
Msaidizi wa Kikwete achukua fomu ya ubunge
KATIBU wa Rais Jakaya Kikwete, Prosper Mbena amevunja ukimya wa minong’ono ya muda mrefu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, baada kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi ( CCM).
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Waumini KKKT wamkataa Msaidizi wa Askofu
![kanisa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/kkkt.jpg)
Kanisa
Na Upendo Mosha, Moshi
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 33 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, wamemkataa Askofu Msaidizi wa jimbo hilo aliyekuwa amependekezwa kugombea nafasi hiyo, Mchungaji Elinganya Saria.
Tukio hilo lilitokea mjini hapa jana baada ya jina la mchungaji huyo kupendekezwa na Halmashauri Kuu ya Dayosisi kwa ajili ya kupigiwa kura.
Wakati wa tukio hilo, jina la Mchungaji Saria ndilo lilikuwa pekee lililokuwa limependekezwa, lakini...