Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii Benson Wanjau kuzikwa leo, Kenya

Muigizaji wa filamu za ucheshi, Benson Wanjau, maarufu mzee ojwang anatarajiwa kuzikwa leo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSANII WA KOMEDI ‘DIFENDA’ AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO

Fadhili Nolidondi ‘Difenda’ enzi za uhai wake. MSANII wa komedi aliyejipatia sifa katika filamu za Mchawi Pesa, Yamini, Saa Mbovu, Kikaango na nyingine nyingi, Fadhili Nolidondi ‘Difenda’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili jijini Dar. Katibu wa Chama cha Komedi Tanzania, Neto Nazaleth amethibitisha msiba huo na kusema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na figo, ini...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI

Marehemu Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ enzi za uhai wake. MSANII mkongwe wa filamu nchini, Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake Tandale jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu. Mwili wa Mzee Kankaa unatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Ali Maua jijini Dar es Salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na...

 

11 years ago

GPL

GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA

Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka…

 

11 years ago

CloudsFM

GEOGRE TYSON KUAGWA LEADERS JUMATANO,KUZIKWA KISUMU,KENYA JUNI 7

Mwili wa aliyekuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu, George Otieno Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro ambapo mwili wake utaagwa siku ya Jumatano katika viwanja vya Leaders, Kinondoni na kusafirishwa kwenda Kisumu, Kenya na kuzikwa Juni 7.Tyson alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa njiani kukumbizwa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea maeneo ya Gairo, Morogoro.Katika ajali hiyo, mbali na marehemu...

 

11 years ago

Habarileo

Ngw’anakilala kuzikwa leo

MWANDISHI wa habari nguli, Nkwabi Ngw'anakilala ambaye amefariki mwishoni mwa wiki, atazikwa leo shambani kwake Kibamba, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Balozi wa Malawi kuzikwa leo

BALOZI wa Malawi nchini Tanzania aliyefariki ghafla Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam, Flossie Gomile-Chidyaonga, anatazamiwa kuzikwa leo katika jiji alilozaliwa la Blantyre, Malawi.

 

10 years ago

Mtanzania

Mez B kuzikwa Dodoma leo

Mez-BNA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

MWILI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama ‘Mez B’, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya wahanga wa treni, Mailimbili mkoani hapa.

Mez B alifariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, mjini hapa wakati akiwaishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kuugua ugonjwa wa Pneumonia.

Akizungumza na MTANZANIA jana mjini hapa, mama mzazi wa marehemu, Merry Katambi, alisema mwanaye atazikwa leo katika makaburi hayo ya wahanga wa treni.

Alisema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Munyuku, Karashani kuzikwa leo

WAANDISHI wa Habari, Innocent Munyuku (New Habari -2006 Ltd) na Baraka Karashani (mwandishi wa kujitegemea) watazikwa leo kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam na Mkoani Morogoro. Munyuku alifariki dunia...

 

10 years ago

Habarileo

Shehe Mkuu kuzikwa leo

Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba enzi za uhai wakeWAKATI mwili wa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba (78) aliyefariki dunia jana asubuhi ukitarajiwa kuzikwa leo jioni mkoani Shinyanga, Rais Jakaya Kikwete ameungana na Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kuomboleza kifo cha kiongozi huyo wa juu wa kiroho nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani