MSANII HAFSA KAZINJA SASA ANAITWA CHRISTINA KAZINJA

Msanii wa Bongo Fleva Hasfa Kazinja ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook kwamba amebadili dini na sasa anajulikana kama Christina Kazinja, msanii huyo ambaye maarufu kama malikia wa Zouk na aliyetamba na wimbo wake wa pressure aliomshirikisha msanii mwingine wa Bongo Fleva Banana Zorro.
Hapa chini ndicho alichokiandika kwenye ukurasa wake wa facebook.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
HAFSA KAZINJA AJUTA KUACHIKA
Stori: Hamida Hassan
STAA aliyewahi kutamba na songi la Presha, Hafsa Kazinja amesema anajuta kuachika kwenye ndoa aliyokuwa ameolewa awali nje ya nchi na iwapo atampata mume mwingine hatafanya makosa tena.
Hafsa alifunguka hayo juzikati alipokuwa kwenye ‘Kitchen party’ ya mdada aliyetambulika kwa jina la Nadhifa Ahmada iliyofanyika Sinza, jijini Dar. Staa wa muziki wa Kibongo, Hafsa Kazinja. “Mwenzenu...
11 years ago
Michuzi29 Jul
11 years ago
GPL
HAFSA KAZINJA ABADILI DINI, KISA MARUHANI
Stori: Hamida Hassan Mwanamuziki Hafsa Kazinja anayetamba na Wimbo wa Mlala Nje huku video yake ikiwa tayari, ameamua kuikacha dini yake ya Kiislam na kuhamia kwenye Ukristo.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Hafsa alisema alifikia uamuzi huo baada ya kusumbuliwa na maruhani ambayo yalimfanya arukwe na akili. Mwanamuziki Hafsa Kazinja. “Niliumwa sana hadi ikaonekana nimerukwa na akili, maruhani ndiyo yaliyokuwa...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL
HAFSA AELEZA ALIVYO-TESWA NA MAUZAUZA
Stori: Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda
MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo Fleva. Mwanamuziki aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja. Akipiga stori na paparazi wetu, Hafsa alisema alikumbana na mambo mengi sana ya ajabu ikiwemo kuona majoka makubwa jukwaani akiwa anatumbuiza na...
11 years ago
Vijimambo23 Sep
HUYU NDO MSHIRIKI MWINGINE MWANAMKE TOKA TANZANIA ANAYE KWENDA BIG BROTHER AFRIKA ANAITWA LAVEDA

10 years ago
GPL
10 years ago
Bongo503 Mar
5 years ago
PBS NewsHour31 Mar
Astronaut Christina Koch on a year without gravity
Astronaut Christina Koch on a year without gravity PBS NewsHourChina's new crew spacecraft looks like it could dock with the International Space Station Space.comThis is why Corona Virus won’t affect Astronauts aboard International Space Station The TeCakeThis Guy Took a Photo of the ISS from His Backyard FuturismA weird light appeared in the sky at the weekend MyLondonView Full coverage on Google News
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania