Msekwa: Msululu wa wagombea urais CCM usiwatishe wananchi
>Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa amewataka wananchi kutoshtushwa na msululu wa makada wa chama hicho waliojitokeza kutangaza nia ya kugombea urais, akisema chama kitampata mgombea makini asiye na doa miongoni mwao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Jun
Wagombea urais CCM wagonga 40
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM
10 years ago
Habarileo02 Feb
Wagombea urais CCM kitanzini
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.
10 years ago
Mtanzania04 Sep
Wagombea urais CCM wavurugwa
![Abdulrahman Kinana](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Abdulrahman-Kinana.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
KATIKA kile kinachoonekana ni kuvuruga kambi za wagombea urais mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepangua makatibu wa mikoa 17 kwa kuwahamisha vituo vyao vya kazi.
Makatibu hao ni pamoja na Mary Chatanda aliyekuwa Mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa amehamishiwa Singida.
Chatanda kwa muda mrefu amekuwa na msuguano ndani ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Arusha, huku kiini chake kikidaiwa ni misimamo tofauti ya vijana hao...
10 years ago
Habarileo11 Jun
Wagombea urais CCM wafikia 28
IDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.
10 years ago
Mwananchi15 Jan
CCM yakomalia wagombea urais sita
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Wagombea urais CCM wawanufaisha Ukawa
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Maige awashangaa wagombea urais CCM
Na Khamis Mkotya, Dodoma
MBUNGE wa Msalala, Ezekiel Maige (CCM), amesema amesikitishwa na mwenendo wa wagombea urais kupitia chama chake kwa jinsi wanavyojinadi.
Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari ya Bunge mjini hapa jana, Maige alisema inasikitisha wagombea hao badala ya kujadili hoja wamebaki kushambuliana na kurushiana vijembe.
Alisema kitendo cha wagombea hao kujadili watu badala ya hoja kinaonyesha udhaifu walionao huku akiwataka kuacha siasa za...
10 years ago
Vijimambo09 Jun
MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM KUTOFIKA
![IMG-20150608-WA0032](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150608-WA0032.jpg?resize=469%2C350)