Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSHITUKO WA MOYO (MYOCARDIAL INFARCTION) -2

Baada ya kueleza matatizo ya mshituko wa moyo wiki iliyopita katika safu hii, leo tutafafanua ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi kama vile kutengana na mke au mpenzi wa mtu.
Jina la ugonjwa huu kitaalamu huitwa broken heart syndrome na husababishwa na kudhoofika ghafla kwa misuli ya moyo kwa muda mfupi. Ugonjwa huu hauhusiani kabisa na tatizo la kukosekana kwa damu ya kutosha katika moyo.
Tatizo hili hujulikana kama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSHITUKO WA MOYO (MYOCARDIAL INFARCTION)

Mshituko wa moyo unatokea wakati mtiririko wa damu yenye oksijeni unapozuiwa kwa ghafla katika misuli ya moyo. Iwapo mzunguko huo wa damu hautaendelea haraka, kitendo hicho huifanya misuli ya moyo kuharibika kwa kukosa oksijeni na hivyo kuhatarisha maisha ya muathirika. Mshituko wa moyo kwa lugha ya tiba unajulikana kama ‘Myocardial Infarction’ inayomaanisha “Myo” muscles au msuli,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Mshituko

WAKATI kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, zikiingia katika duru la pili huku wagombea Dk.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Vijimambo

BUNGE LA KATIBA:Mshituko

  Kura za hapana zaiibua kamati ya mashaurianoUamuzi wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kupiga kura ya hapana kwa ibara zote za rasimu mpya ya katiba inayopendekezwa imeibua mkanganyiko na sasa Kamati ya Mashauriano imeundwa kukutana na waliopiga kura hizo.

Juzi wajumbe walianza kupiga kura kupitisha sura na ibara moja baada ya nyingine, kwa wazi au siri, huku wengi wakisema kuwa wanaunga mkono, lakini pia wakiwamo wachache waliosema hapana kwa sura zote 10 na ibara zote kuanzia...

 

10 years ago

GPL

MSHITUKO VIFO VYA WASANII

Stori:  Waandishi Wetu
Misiba kila kona! Achilia mbali watu wasiokuwa na majina hasa vijana wadogo, ndani ya saa 24 wamefariki dunia wasanii wanne wa kutoka kwenye tasnia za Bongo Movies na Bongo Fleva, Amani lina habari yenye kuumiza moyo. Benson Okumu, enzi za uhai wake akiwa na mtoto wa marehemu George Okumu Otieno ‘Tyson’… ...

 

5 years ago

CCM Blog

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA MOYO WALIOPATWA NA CORONA


Na Mwandishi maalum – Dar es Salaam24/04/2020 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) itawahudumia wagonjwa  wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo  cha  watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam.Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Janabi alipotembelea kituo hicho kwa ajili ya kuona ni namna gani wataalamu wa Taasisi yake wataweza kutoa huduma kwa ...

 

9 years ago

Vijimambo

Madaktari Bingwa wa Moyo toka India , Wanatarijiwa kupambana na ugonjwa wa Moyo wa kuzaliwa kwa Watoto



Na Mwandishi Wetu ,Kutokea kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki. Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.Watoto ...

 

9 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA WA MOYO TOKA INDIA, WANATARIJIWA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MOYO WA KUZALIWA KWA WATOTO



Na Mwandishi Wetu ,KUTOKEA  kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki.
 Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.
Watoto wenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Blatter alazwa kwa kupata mshituko

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa, Sepp Blatter amelazwa hospitalini kutokana na kupatwa mshituko wa neva.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani