Blatter alazwa kwa kupata mshituko
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa, Sepp Blatter amelazwa hospitalini kutokana na kupatwa mshituko wa neva.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Nov
Sepp Blatter alazwa hospitali baada ya kupata mshituko
![FIFA President Sepp Blatter speaks during a press conference on October 4, 2013 at the FIFA headquarters in Zurich. FIFA said they could not get involved in labour issues in any country, amid calls for action after claims that dozens of migrant workers had died on construction projects linked to the 2022 World Cup in Qatar. Blatter, however said that the federation could not turn a blind eye to the reports, which also alleged that thousands of other workers endured conditions akin to "modern-day slavery" in Qatar. AFP PHOTO / FABRICE COFFRINIFABRICE COFFRINI/AFP/Getty Images](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Blatter-argues-300x194.jpg)
Rais wa shirikisho la Soka la kimataifa, Sepp Blatter aliyesimamishwa kwa siku 90 kujishughulisha na masuala ya soka kwa kashfa za rushwa, amelazwa hospitali kutokana na kupatwa mshtuko wa neva.
Blatter amelazwa hospitali kwa ajili ya uchunguzi wa afya lakini sasa imeelezwa ataendelea kubaki huko. Awali ilidaiwa alikuwa na matatizo ya msongo wa mawazo hivyo ikabidi apate huduma ya matabibu, sasa imebainika ana tatizo la mshtuko wa neva.
Awali, mwanasheria wake, Richard Cullen alieleza juu...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Blatter na Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka, Blatter achukua uamuzi huu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Rais wa Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) na Rais wa UEFA, Michel Platini wamefungiwa miaka 8 kutojihusiaha na soka na kamati ya maadili ya FIFA kwa kosa la kutumia mamlaka yao vibaya kwa kosa la matumizi mabaya ya fedha za FIFA.
Blatter na Platini wanadaiwa kuwa mwaka 2011, kugawiana pesa kiasi cha Euro Milioni 1.35 ambapo Blatter alimlipa Platini kama malipo kwa kazi ya kuwa mshauri wa Blatter mwaka 1999-2002.
Licha ya kuwafungia miaka...
11 years ago
Mwananchi08 May
Alazwa hospitali kwa miaka 45
11 years ago
Habarileo20 Dec
Mkalimani wa Mandela alazwa kwa uchizi
MKALIMANI mtata katika ibada maalumu ya kumkumbuka kiongozi wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika uwanja wa FNB jijini Johannesburg Desemba 10 amelazwa hospitalini kwa matatizo ya akili.
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
Mshituko
WAKATI kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, zikiingia katika duru la pili huku wagombea Dk.
Mwandishi Wetu
11 years ago
CloudsFM06 Jun
H BABA ALAZWA MUHIMBILI KWA KUUMWA DENGUE
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva,Hamis Baba’H Baba’amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa kuumwa ugonjwa wa Dengue.
Msanii huyo alipelekwa katika hospitali jana usiku baada ya hali yake kuwa mbaya.Kupitia mtandao wa Instagram mke wa msanii huyo Frolah Mvungi aliandika hivi..DENGUE.....muhimbili now SAA nane Hii.usiku.hali ilikuwa mbaya zaidi imebidi tuletwe MUHIMBILI HOSPITAL.AMEGUNDULIKA NI DENGUE.thanx to GOD anaendelea vizuri and that is the last drip.asante my manager Yahya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIGW9JDU2CuJNkKKab8-krrfYZWWCmEzFH9KmvXVaUS3kgBwoGsmyiXyyVUy2AQ4LNjzX-ao65l7EJBKinnX27Sk/aunty.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL AANGUKA KWA PRESHA, ALAZWA
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli alazwa chini
Chacha Makenge akiwa amelazwa chini kwenye hospitali ya Muhimbili.
Chande Abdallah na Deogratius Mongela, UWAZI
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa aliyeibua ubovu wa mtambo ya CT Scan na mashine ya MRI kwa Rais John Pombe Magufuli, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, Chacha Makenge (pichani)amekutwa na Uwazi akiwa amelala sakafuni wodini.
Desemba 25, mwaka huu, Uwazi lilifika hospitalini hapo Jengo la Sewa Haji wodi namba 18 na kumshuhudia Chacha amelalia mashuka aliyoyatandika chini huku...
10 years ago
Vijimambo01 Oct
BUNGE LA KATIBA:Mshituko
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
Juzi wajumbe walianza kupiga kura kupitisha sura na ibara moja baada ya nyingine, kwa wazi au siri, huku wengi wakisema kuwa wanaunga mkono, lakini pia wakiwamo wachache waliosema hapana kwa sura zote 10 na ibara zote kuanzia...