AUNT EZEKIEL AANGUKA KWA PRESHA, ALAZWA
![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIGW9JDU2CuJNkKKab8-krrfYZWWCmEzFH9KmvXVaUS3kgBwoGsmyiXyyVUy2AQ4LNjzX-ao65l7EJBKinnX27Sk/aunty.jpg?width=650)
Stori: Gladyness Mallya na Hamida Hasan STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuanguka ghafla kwa presha akiwa ‘location’ jijini Tanga, Risasi Jumamosi lina habari hii. Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel. Kwa mujibu wa chanzo, Aunt akiwa katika harakati za kuigiza filamu anayocheza na Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, ghafla alianguka na kukimbizwa katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Aunt Ezekiel: Msibani si kwa kuonyesha urembo
NA RHOBI CHACHA
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amewaponda wasanii wanaokwenda misibani wakiwa wamejipara kupita kiasi.
Msanii huyo aliwaponda wasanii wenzake wenye tabia ya kutumia sehemu za misiba kugeuza uwanja wa kuonyesha mavazi na vito vya thamani katika miili yao.
“Wenye tabia hizo acheni kujipodoa katika msiba, tunakera wenzetu ndiyo maana linaongelewa kila siku tuishi kulingana na utamaduni wetu tusiige,’’ alisema huku akifafanua zaidi.
“Wenzetu wakiwa katika majonzi nasi...
10 years ago
Habarileo16 Nov
Madiwani Mufindi wapandisha presha ya Mkurugenzi, alazwa
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Paulo Ntinika, amejikuta akilazimika kutoka katika kikao cha Baraza la Madiwani na kwenda kupumzishwa hospitalini, baada ya madiwani kumtuhumu moja kwa moja kwa matumizi mabaya ya zaidi ya Sh milioni 291.
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Urafiki wa Wema na Aunt Ezekiel Warejea Kwa Kishindo
Baada ya urafiki wao kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wameonyesha kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki wao kama ilivyo kuwa awali.
Urafiki wa Wema na Aunt ulionekana kuyumba na kufikia hatua ya Wema kutohudhuria baby shower party ya Aunt ambapo Aunt alidai kumualika Wema na hata havi karibuni aunt alipojifungua mtoto Wema hakusema chochote kwenye ukurasa wake mtandaoni ukizingatia kuwa wakati wa ushosti...
10 years ago
Vijimambo24 Sep
AUNT EZEKIEL NA CASSIM MGANGA WATEMBELEA AFRICAN ROOM NYUMBANI KWA DR TEMBA
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
MWAJUMA NIPE: Aunt Ezekiel Atoa Tamko Kali Kuelekea 2015 Kwa wale Wanaomtukana
"Morng wapenz wang wazuri wazuri Msojaliwa matusi mapya kila siku mnarudia mm apa ndio naamka Sasa Natoa tamko rasmi anaejijua tusi lake uwa lipo kila siku plz mwisho mwaka huu kuanzia Mwakani 2015 Naomba mjitahidi Matusi tofauti na yawe Mapya plzzzz
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LuksgnFjTsylDD*Xi02P0GIYkAUR2JdcyWrW*ByAOfWqctGBsl9h*47DYao15MG1Pxl5G8gret6BzmI2NG13zAL/AUNTY.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL USO KWA USO NA MBAYA WAKE CHINA
10 years ago
Bongo Movies01 May
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...