Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aunt Ezekiel: Msibani si kwa kuonyesha urembo

auntez ekiel4NA RHOBI CHACHA

STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amewaponda wasanii wanaokwenda misibani wakiwa wamejipara kupita kiasi.

Msanii huyo aliwaponda wasanii wenzake wenye tabia ya kutumia sehemu za misiba kugeuza uwanja wa kuonyesha mavazi na vito vya thamani katika miili yao.

“Wenye tabia hizo acheni kujipodoa katika msiba, tunakera wenzetu ndiyo maana linaongelewa kila siku tuishi kulingana na utamaduni wetu tusiige,’’ alisema huku akifafanua zaidi.

“Wenzetu wakiwa katika majonzi nasi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AANGUKA KWA PRESHA, ALAZWA

Stori: Gladyness Mallya na Hamida Hasan
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuanguka ghafla kwa presha akiwa ‘location’ jijini Tanga, Risasi Jumamosi lina habari hii. Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel. Kwa mujibu wa chanzo, Aunt  akiwa katika harakati za kuigiza filamu anayocheza na Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, ghafla alianguka na kukimbizwa katika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Urafiki wa Wema na Aunt Ezekiel Warejea Kwa Kishindo

Baada ya urafiki wao kuyumba kwa kipindi cha zaidi ya miezi miwili hivi iliyopita, mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wameonyesha kumaliza tofauti zao na kurudisha urafiki wao kama ilivyo kuwa awali.

Urafiki wa Wema na Aunt ulionekana kuyumba na kufikia hatua ya Wema kutohudhuria baby shower party ya Aunt ambapo Aunt alidai kumualika Wema na hata havi karibuni aunt alipojifungua mtoto Wema hakusema chochote kwenye ukurasa wake mtandaoni ukizingatia kuwa wakati wa ushosti...

 

10 years ago

Vijimambo

AUNT EZEKIEL NA CASSIM MGANGA WATEMBELEA AFRICAN ROOM NYUMBANI KWA DR TEMBA

Aunt Ezekiel akiwa na Cassim Mganga Nyumbani kwa Dr Temba, Brooklyn, NY hapa wakipata ukodak ndani ya Africa Room.Kwa Picha zaidi bofyahttp://www.tembaphoto.com/index.php?sphoto=1

 

10 years ago

Bongo Movies

MWAJUMA NIPE: Aunt Ezekiel Atoa Tamko Kali Kuelekea 2015 Kwa wale Wanaomtukana

"Morng wapenz wang wazuri wazuri Msojaliwa matusi mapya kila siku mnarudia mm apa ndio naamka Sasa Natoa tamko rasmi anaejijua tusi lake uwa lipo kila siku plz mwisho mwaka huu kuanzia Mwakani 2015 Naomba mjitahidi Matusi tofauti na yawe Mapya plzzzz

 

11 years ago

GPL

WEMA, AUNT NINI KILITOKEA PALE MSIBANI?

Diva wa filamu za Kibongo, 'Wema sepetu' akilia wakati wa mazishi ya Kuambiana.
NIMEWAHI kumzungumzia Wema Sepetu mara kadhaa, ingawa hii itakuwa mara yangu ya kwanza kumleta katika safu hii Aunt Ezekiel. Nimeamua kuwazungumzia kwa pamoja kutokana na tukio lililotokea hivi karibuni la kufariki na kuzikwa kwa mmoja wa watu muhimu sana kwenye filamu Tanzania, Adam Kuambiana. Nimemfahamu Wema kwa muda mrefu kidogo, tokea pale...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL USO KWA USO NA MBAYA WAKE CHINA

Stori: Richard Bukos
MSANII wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amesema hivi karibuni aligongana uso kwa uso na Ivon Bigilwa ambaye anadaiwa kumchana kwa chupa mkononi na kesi hiyo inaendelea katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akliwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.
Aunty alisema hayo juzi Jumatatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya...

 

11 years ago

GPL

PUB YA AUNT EZEKIEL CHALI

Stori: Shakoor Jongo
PUB iliyoibuka kwa muda mchache na kukamata ‘taito’ kubwa Bongo ya mwigizaji Aunt Ezekiel, Demonte imefungwa ghafla, haitoi huduma tena. Aunt Ezekiel. Imedaiwa kuwa, pub hiyo iliyopo maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar, imefungwa kutokana na mhusika kushindwa kuiendesha. “Imefungwa, nasikia gharama za vinywaji na wafanyakazi aliowaajiri zilikuwa juu akaona bora afunge,” alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani