MSIBA NEW YORK NA JAMAICA
Familia ya Diana na Tino Taylor wanasikitika kutangaza kifo cha Mzee Taylor, baba mzazi wa Tino, baba mkwe wa Diana Taylor na Doris Rweyemamu, kilichotokea Jumatatu, June 15, 2015, huko Jamaica.
Wanaoweza kwenda kumpa pole Tino...Address ni...40 East Sidney Avenue Apt# 10-C, Mount Vernon, NY 10550... (914) 652-3162..Diana - (914) 290-8170....Atakuwa posted nyumbani Jumanne, June 16, 2015, Jumatano June 17, 2015 na Jumapili June 21, 2015....MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s72-c/unnamed.jpg)
MSIBA NEW YORK NA TANZANIA. MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,TUTAUAGA MWILI BRONX,NEW YORK. RATIBA HII ITATEGEMEA NA UKAMILIFU WA MICHANGO YETU TAFADHALI CHANGIA ILI TUKAMILISHE JUKUMU HILI KWA PAMOJA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s320/unnamed.jpg)
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi.Marehemu ameacha Mke na watoto watatu. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...
10 years ago
Vijimambo25 May
MSIBA NEW YORK NA TANZANIA
Kama ilivyokawaida kupeana pole ni kawaida yetu anuani ya msiba utakapokua tutaweka hapa baadaeKwa habari zaidi unaweza piga simu
Peter Lwangisa (917) 681-6971Mao Lwangisa (917) 709-6889
bwana ametoa,Bwana ametoa na jina lake lihimidie
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s72-c/unnamed.jpg)
MSIBA BRONX NEW YORK NA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s320/unnamed.jpg)
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi. Marehemu ameacha Mke na watoto 7. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZERVkoJGFHo/Ux9RV6UoShI/AAAAAAAFS9c/mHEaRQVP53I/s72-c/20140308_184516.jpg)
Taarifa ya Maendeleo ya Msiba, New York
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZERVkoJGFHo/Ux9RV6UoShI/AAAAAAAFS9c/mHEaRQVP53I/s1600/20140308_184516.jpg)
Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York, na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high school hapa New York.
Mama Mwaluko alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa saratani yaani kansa. Alikuwa akitibiwa huko katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York. Michango yenu kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba huu itumwe kwenye akaunti...
11 years ago
Michuzi11 Mar
TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-55aLjfD44Mo%2FUx6M3KBzxBI%2FAAAAAAAAhW4%2FHjfUZk8yHdU%2Fs1600%2F20140308_184516.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014. Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high school hapa New York. Mama Mwaluko alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa saratani yaani kansa. Alikuwa akitibiwa huko katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York.
Mama Mwaluko alishawahi kukaa na Marehemu mumewe China na Marekani kama Wanadiplomasia na alishastaafu kufundisha mwaka...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ynq7GV_Qzss/U2Z3BzYhEJI/AAAAAAAFfWk/t0WkZq4_Y18/s72-c/unnamed+(55).jpg)
Tangazo la Msiba Philadelphia na New York
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ynq7GV_Qzss/U2Z3BzYhEJI/AAAAAAAFfWk/t0WkZq4_Y18/s1600/unnamed+(55).jpg)
Kwa maana hiyo na kwa sababu msiba huu umetokea ghafla na kwa sababu ni Mtanzania mwenzetu tunaomba tusaidiane ili tuweze kufanikisha shughuli za msiba huu...
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba Philadelphia na New York
Tunawaomba tuzidi kuchanga ili tuweze kufikia kiasi kinachohitajika na ili tuweze kufanikisha shughuli za kuurudisha mwili wa Marehemu Tanzania. Ukipata taarifa hizi...
11 years ago
MichuziTaarifa ya Msiba Philadelphia na New York
Marehemu Mama Kagaruki hakuwa mkazi wa Marekani. Kwa maana hiyo na kwa sababu msiba huu umetokea ghafla na kwa sababu ni Mtanzania mwenzetu tunaomba tusaidiane ili tuweze kufanikisha shughuli za msiba huu ili aweze...
11 years ago
MichuziMaendeleo ya Msiba New York na Philadelphia
Michango kwa ajili ya kufanikisha shughuli za msiba wa Marehemu Mama Harriette Peace Kagaruki aliyefariki dunia huko Philadelphia tarehe 28 April 2014 bado inaendelea. Mpaka sasa kiasi cha dolla 8,800 zimeshapatikana. Lengo ni kuchangisha dolla 20,000 ili kufanikisha shughuli za msiba huu uliotokea tarehe 28 April 2014. Tunawaomba tuzidi kuchanga ili tuweze kufikia kiasi kinachohitajika na ili tuweze kufanikisha shughuli za kuurudisha mwili wa Marehemu Tanzania. Ukipata taarifa hizi...