Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

MSIBA NEW YORK NA TANZANIA MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,

MAREHEMU MZEE ALFRED MAGEGE.

 KUAGA MWILI KUANZIA SAA NNE 4 ASUBUHI JUMAPILIADDRESS: 1271 BURKE AVEBRONX. NY 10469
BAADA YA HAPO MZISHI YATAFANYIKA  ADDRESS HII:2600 HECK AVE NEPTUNE. NJ 07753

Vijimambo

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MSIBA NEW YORK NA TANZANIA. MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,TUTAUAGA MWILI BRONX,NEW YORK. RATIBA HII ITATEGEMEA NA UKAMILIFU WA MICHANGO YETU TAFADHALI CHANGIA ILI TUKAMILISHE JUKUMU HILI KWA PAMOJA.

MAREHEMU MZEE ALFRED MAGEGE.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi.Marehemu ameacha Mke na watoto watatu. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...

10 years ago

Vijimambo

MSIBA NEW JERSEY NA TANZANIA

It is with great sadness we announce the death of our lovely brother "Eddie Malcolm Buna" which took place in New Jersey, USA. Buna was found dead in his apartment. We are still working with the officials to figure out the cause of his death. Buna left behind his father, mother and 3 siblings Maryam, Abdul and Gee Saleh.
Buna's body will be shipped to Zanzibar for funeral arrangements and we would like to solicit your financial support at this difficult time to enable the family to rest him...

10 years ago

Vijimambo

MSIBA NEW JERSEY NA ZANZIBAR TANZANIA

MSIBA NEW YORK NA TANZANIA

Familia ya Lwangisa inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa baba yao mzazi kilichotokea leo New York nchini Marekani taarifa zaidi kuhusiana na msiba mzee Lwangisa zitafuata 
Kama ilivyokawaida kupeana pole ni kawaida yetu anuani ya msiba utakapokua tutaweka hapa baadaeKwa habari zaidi unaweza piga simu 
Peter Lwangisa (917) 681-6971Mao Lwangisa (917) 709-6889
bwana ametoa,Bwana ametoa na jina lake lihimidie

10 years ago

Michuzi

MSIBA BRONX NEW YORK NA TANZANIA

MAREHEMU MZEE ALFRED MAGEGE.

Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi. Marehemu ameacha Mke na watoto 7. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA

Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014. Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high school hapa New York. Mama Mwaluko alifariki baada ya kuugua ugonjwa wa saratani yaani kansa. Alikuwa akitibiwa huko katika hospitali ya Calvary huko Bronx, New York.
Mama Mwaluko alishawahi kukaa na Marehemu mumewe China na Marekani kama Wanadiplomasia na alishastaafu kufundisha mwaka...

10 years ago

Vijimambo

MSIBA BRONX NEW YORK NA NYUMBANI TANZANIA

MAREHEMU MZEE ALFRED MAGEGE.

Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi. Marehemu ameacha Mke na watoto 7. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa Wanajumuiya wa New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania.

Waheshimiwa  Wanajumuiya, Mkutano wa Wanajumuiya wote utafanyika Jumamosi, tarehe 2 Agosti 2014 kwenye Jengo la Ubalozi address hii  30 Overhill Rd, Mount Vernon, NY 10552  (Pale pale tulipofanyia uchaguzi mwaka jana, 2013), kuanzia saa nane mchana hadi saa moja jioni.  Mkutano utajadili maendeleo ya Jumuiya, tulipotoka na tunakoelekea. Katika Mkutano huu wamajumuiya watapata fursa ya:
·      Kusikia kutoka kwa kila kiongozi wa Jumuiya ni nini kila kiongozi alichokifanya tokea achaguliwe...

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA, LEO NI SIKU YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU UNAPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YA MILELE HUKO TANZANIA, WATANZANI TUTAKUTANA NYUMBANI KWA DR TEMBA

FLAVIAN IS FLAVIAN TEMBA:   1950 -2015

Alizaliwa Uru Shimbwe na alikuwa Mwalimu  Lyamungu Secondary School, Moshi Kilimamjaro Tanzania.
 Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa  June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba...

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani