MSIBA NEW JERSEY NA ZANZIBAR TANZANIA
It is with great sadness we announce the death of our lovely brother "Eddie Malcolm Buna" which took place in New Jersey, USA. Buna was found dead in his apartment. We are still working with the officials to figure out the cause of his death. Buna left behind his father, mother and 3 siblings Maryam, Abdul and Gee Saleh.
Buna's body will be shipped to Zanzibar for funeral arrangements and we would like to solicit your financial support at this difficult time to enable the family to rest him...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Aug
MSIBA NEW JERSEY NA TANZANIA
Buna's body will be shipped to Zanzibar for funeral arrangements and we would like to solicit your financial support at this difficult time to enable the family to rest him...
10 years ago
VijimamboMSIBA NEW YORK NA TANZANIA MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,
KUAGA MWILI KUANZIA SAA NNE 4 ASUBUHI JUMAPILIADDRESS: 1271 BURKE AVEBRONX. NY 10469
BAADA YA HAPO MZISHI YATAFANYIKA ADDRESS HII:2600 HECK AVE NEPTUNE. NJ 07753
10 years ago
MichuziMSIBA NEW YORK NA TANZANIA. MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,TUTAUAGA MWILI BRONX,NEW YORK. RATIBA HII ITATEGEMEA NA UKAMILIFU WA MICHANGO YETU TAFADHALI CHANGIA ILI TUKAMILISHE JUKUMU HILI KWA PAMOJA.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi.Marehemu ameacha Mke na watoto watatu. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...
9 years ago
Vijimambo08 Oct
TANGAZO LA MSIBA NEW YORK NA ZANZIBAR WA BI AISHA HEMED
Familia ya Bwana Mohammed wa Brooklyn inasikitika kutangaza Msiba wa mama Yao Bi Aisha Hemed kilichotokea Leo Zanzibar na maziko yalikuwa leo October 07,2015.Bi Aisha Hemed ni mama Mkwe wa Bwana Mohammed na Mama mzazi wa mkewe Bi Fatma Omar wa Brooklyn.Jumuiya ya Watanzania New York na vitongoji vyake inaungana na Familia katika Msiba huu mzito wa mwanajumuiya mwenzetu.Tunasisitiza Wanajumuiya kuungana Na wanafamilia katika kuwafariji wafiwa pamoja Na kumuombea dua Mama yetu mpenzi Mwenyezi...
10 years ago
VijimamboMSIBA TANZANIA
10 years ago
VijimamboTAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA, LEO NI SIKU YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU UNAPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YA MILELE HUKO TANZANIA, WATANZANI TUTAKUTANA NYUMBANI KWA DR TEMBA
Alizaliwa Uru Shimbwe na alikuwa Mwalimu Lyamungu Secondary School, Moshi Kilimamjaro Tanzania.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba...
10 years ago
Vijimambo22 Jul
MSIBA BOSTON NA TANZANIA
Msiba - BostonDada yetu Francisca Mwaluli amefiwa na mwanawe Kevin(19yrs) jana July-20th Dar-es-Salaam, Tanzania. Our dear sister Francisca Mwaluli is bereaved of her son who passed away yesterday, July 20th. May Kevin's soul Rest in Peace, Amen. Msiba upo nyumbani kwake 340 Centre St, Jamaica Plain. Pole sana my dear Francisca MwaluliMungu ailaze roho ya marehemu Kevin mahali pema peponi, Amen.
10 years ago
Vijimambo22 Feb
MSIBA SEATTLE NA TANZANIA
Kwa masikitiko makubwa jumuiya imepokea taarifa ya msiba wa Kaka wa mtanzania mwenzetu Mama Dina kilichotoka Dar es Salaam,Tanzania.
Sala ya maombi itafanyika kesho, Jumapili Tarehe 22/2/2015, saa Nane mchana (2pm), nyumbani kwa Mama Dina.
Anuani:21227 35th Avenue SeBothell, WA 98021
Pia tunaombwa kuwafariji wafiwa katika wakati huu mgumu wa kuondokea na kiungo muhimu cha familia yao kwa kuungana nao kwenye anuani iliyoainishwa hapo juu.
Namba ya wafiwa - Bw. George, mume wa...
10 years ago
Vijimambo14 Jul
MSIBA MICHIGAN NA TANZANIA