Mkutano wa Wanajumuiya wa New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania.
![](http://1.bp.blogspot.com/-X3KLh7JYgg4/U89bxyvWxvI/AAAAAAAF5Bg/hYQhbYfcAxc/s72-c/flag_256.jpg)
Waheshimiwa Wanajumuiya, Mkutano wa Wanajumuiya wote utafanyika Jumamosi, tarehe 2 Agosti 2014 kwenye Jengo la Ubalozi address hii 30 Overhill Rd, Mount Vernon, NY 10552 (Pale pale tulipofanyia uchaguzi mwaka jana, 2013), kuanzia saa nane mchana hadi saa moja jioni. Mkutano utajadili maendeleo ya Jumuiya, tulipotoka na tunakoelekea. Katika Mkutano huu wamajumuiya watapata fursa ya:
· Kusikia kutoka kwa kila kiongozi wa Jumuiya ni nini kila kiongozi alichokifanya tokea achaguliwe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s72-c/unnamed.jpg)
MSIBA NEW YORK NA TANZANIA. MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,TUTAUAGA MWILI BRONX,NEW YORK. RATIBA HII ITATEGEMEA NA UKAMILIFU WA MICHANGO YETU TAFADHALI CHANGIA ILI TUKAMILISHE JUKUMU HILI KWA PAMOJA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s320/unnamed.jpg)
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi.Marehemu ameacha Mke na watoto watatu. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-gv_Q-bjJxek/U97k-5zuVNI/AAAAAAAF8xc/kVi_uILid6Q/s1600/dm1.jpg)
RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI WASHINGTON
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s72-c/unnamed.jpg)
MSIBA NEW YORK NA TANZANIA MAZIKO YANATARAJIWA KUWA JUMAPILI JUNE 28,NEW JERSEY,
![](http://1.bp.blogspot.com/-T2kd8Glq57s/VX2Ym1_YckI/AAAAAAADrTY/tQQhf9Kzdis/s320/unnamed.jpg)
KUAGA MWILI KUANZIA SAA NNE 4 ASUBUHI JUMAPILIADDRESS: 1271 BURKE AVEBRONX. NY 10469
BAADA YA HAPO MZISHI YATAFANYIKA ADDRESS HII:2600 HECK AVE NEPTUNE. NJ 07753
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XxljNrmdEYL3MqhRzTeQFS8fw2EI0XXvoI8bO6gQctayERHnZew9WxiXdcdTGbm6hXPQSejYZW8bYAaXm6lrGzoENmxHrA*0/DIAMONDNEWJERSEY.png?width=650)
11 years ago
Michuzi28 May
DIAMOND KUWARUSHA WAKAZI WA EAST COAST MAREKANI..NEW YORK..NEW JERSEY..BOSTON...DE..NC..OH..DC..JUMAMOSI HII MAY 31 PALE ELIZABETH CITY NJ
BAADA YA KUACHA HISTORIA DALLAS NA HOUSTON SASA NI ZAMU YA EAST COAST FOR INFO PLZ CALL DMK-301-661-6207 ..INNO-713-373-6525 ..PETER-240-605-1870...JAHAZI -201-673-4282
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Fv4SXZdzzEI/U9Vy6L3EfQI/AAAAAAAF7IM/BK2eQKYJBCM/s72-c/images.jpg)
TAARIFA YA MKUTANO WA New York Tanzanian Community.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Fv4SXZdzzEI/U9Vy6L3EfQI/AAAAAAAF7IM/BK2eQKYJBCM/s1600/images.jpg)
Mkutano wa Wanajumuiya wote utafanyika Jumamosi, tarehe 2 Agosti 2014 kwenye Jengo la Ubalozi address hii: 30 Overhill Rd, Mount Vernon, NY 10552 (Pale pale tulipofanyia uchaguzi mwaka jana, 2013), kuanzia saa nane mchana hadi saa moja jioni.
Mkutano utajadili maendeleo ya Jumuiya, tulipotoka na tunakoelekea. Katika Mkutano huu wamajumuiya watapata fursa ya:
· Kusikia kutoka kwa kila kiongozi wa Jumuiya ni nini kila kiongozi alichokifanya tokea achaguliwe Oktoba 2013...
10 years ago
MichuziMKUTANO MKUU WA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE WAAHIRISHWA
VIONGOZI KATIKA KAMATI YA HALMASHAURI KUU NI WATANO NA KATI YA HAO WATATU WAMEPITISHA NA KUKUBALI KUAHIRISHWA KWA UCHAGUZI. NA WAWILI BADO HAWAJA JIBU.
SABABU NI NINI?
1- WENGI WA WANACHAMA SIYO HAI KWANI ADA ZA WANACHAMA HAZIJALIPWA.
2- WAPIGA KURA WENGI HAWANA KADI.
3- KILA MUOMBAJI UWANACHAMA LAZIMA KAMATI ILIOPO IPITISHE OMBI LAKE
4- HADI SASA HAIJULIKANA TUNAWANACHAMA WANGAPI NA...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-gTAp1nIFq6Y/VgV9t9wlgJI/AAAAAAAH7K4/iIU6r-aYJ5Y/s72-c/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
JK KATIKA MKUTANO WA 70 WA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK, MAREKANI, LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-gTAp1nIFq6Y/VgV9t9wlgJI/AAAAAAAH7K4/iIU6r-aYJ5Y/s640/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wEkBBFFTuSc/VgV9wYHJEzI/AAAAAAAH7LA/L1N1q0VpRM8/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LKx4sV12s5M/VgV9wbCsKcI/AAAAAAAH7LE/ylUPuJMvjJs/s640/unnamed%2B%25283%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-RI-J-BKeomU/VgV9wkg2BLI/AAAAAAAH7LI/aYe020bhwEc/s640/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2LCUga2MkIM/VCNnAVKUUtI/AAAAAAAAHbE/3Luw-asfVCQ/s72-c/Kikwete%2BUN.jpg)
Hotuba ya Rais Kikwete kwenye mkutano wa tabianchi, Umoja wa Mataifa, New York
![](http://2.bp.blogspot.com/-2LCUga2MkIM/VCNnAVKUUtI/AAAAAAAAHbE/3Luw-asfVCQ/s1600/Kikwete%2BUN.jpg)