Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msichana aliyebakwa Kenya kupata haki

Msichana aliyebakwa na genge la watu 6 nchini Kenya hatimaye huenda akatendewa haki baada ya mwendesha mkuu wa mashitaka kusema kesi yake itasikiliza

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN:Yasherekea Siku ya Kimataifa ya Haki ya kupata taarifa na kuzindua utafiti wa kupata taarifa Ofisi za Umma

Afisa Utafiti na Maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa (wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi alipokuwa anafungua mkutano huo kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za Serikali kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa Septemba 28 kwa kila mwaka.

Mwenyekiti msaidi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Bwana...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Kinondoni sasa kupata haki zao.

Serikali imeunda Kamati ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni ili kusikiliza na kutatua kero na changamoto zinazowakabili wananchi wanapodai haki zao katika mahakama za kikatiba.

Kamati hiyo itakayoshughulikia nidhamu ya mahakama imeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mahakama nambari 4 ya mwaka 2011, sehemu ya 51 mabano moja.

Kamati iliyoundwa itashughulikia malalamiko ya wananchi dhidi ya mahakama ya mwanzo, na inaweza kumsimamisha kazi hakimu kupisha uchunguzi wa malalamiko dhidi...

 

9 years ago

Raia Tanzania

‘Kila Mtanzania ana haki ya kupata elimu’

ELIMU ndiyo ufunguo wa maisha, binadamu aliyekamilika hapa duniani ili awe kamili lazima awe na elimu ya mazingira yanayomzunguka, ndiyo maana vitabu vya Mungu vyote vinahimiza umuhimu wa elimu.

Unapoitaja elimu kwa muktadha wa wa mwanga katika jamii, unaongeza umuhimu wake kwa kila mwenye fursa ya kuipata bila kujali umri, hali ya kiuchumi na jinzia. Kumekuwepo na tatizo la watu waliopita umri wa kuanza shule ya msingi ambao ni miaka saba, serikali ikabaini hilo tatizo na kuanzisha...

 

11 years ago

Habarileo

Maandalizi Muswada wa Sheria ya Haki ya Kupata Taarifa

SERIKALI imeshaanza maandalizi ya Muswada wa Sheria ya Haki ya Kupata Taarifa kutoka kwa taasisi za umma, ili kuongeza uwazi katika uendeshaji wa shughuli za Serikali. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro, alisema hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, wakati akiwasilisha taarifa ya makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka ujao wa fedha, katika Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Bongo5

Hutaamini alichopost Youtube msichana huyu wa Kenya kumtongoza Diamond ‘I am ready to start a project with you’

Licha ya kuwa ni msichana mrembo, tajiri na apparently akitarajia kumpa mtoto Diamond, Zari Tlale aka The Bosslady anakabiliana na ushindani mkubwa kutoka wasichana wengi Afrika Mashariki wenye ndoto za kuwa wapenzi wa hitmaker huyo wa ‘Number One’. Msichana wa Kenya aitwaye Tiara ameanzisha kampeni Youtube kutaka kufikisha ujumbe wake kwa Diamond. Jana, Tiara ameupload […]

 

10 years ago

Raia Tanzania

Nani ana haki ya kupata elimu katika jamii?

WAJIBU wa kila mzazi nchini mwenye mtoto aliyefikisha umri wa kwenda shule ni kuhakikisha mtoto huyo anakuwa darasani, lakini bado wapo wazazi wanaoshindwa kutekeleza wajibu huo.

Achilia mbali watoto wanaozurura mitaani kutokana na kukosa nafasi ya kwenda shule, lakini wapo pia watoto wanaoishi na wazazi wao lakini hawakupata wasaa wa kukaa darasani na kumsikiliza mwalimu kutokana na maisha duni ya wazazi wao.

Hata hivyo, ieleweke Tanzania ya sasa si ile ya zamani ambapo idadi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA:JE UNASUMBULIWA NA MGOGORO WA ARDHI? JUA SEHEMU YA KUPATA HAKI...

Na  Bashir  Yakub.


Wako  watu  ambao  wamekuwa  wakipata  matatizo mbalimbali  ya  ardhi  lakini  wasijue  la  kufanya.  

Kati  ya  hao  wapo  ambao  migogoro  imeanzia  mikononi  mwao   na  wengine   wamerithi  migogoro  hiyo kutoka  kwa  wazazi  au  ndugu  zao. 
Yote  kwa  yote    iwe  mgogoro  umeanzia  mikononi  mwako  au  umeurithi  bado mgogoro  ni  mgogoro  na  lazima  utafute jambo  la   kufanya  ili  kuumaliza. Nitakachoeleza  hapa ni  namna  gani  waweza  kumaliza  mgogoro  wa ...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA-WANANCHI WA KARATU WANA HAKI YA KUPATA HUDUMA MBALIMBALI ZA MAENDELEO KAMA WENGINE.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi Mjini Karatu na kujibu hoja mbalimbali za Wananchi,ambapo aliwaelez wananchi hao kuwa maswali mengi yanahusu kujibiwa na Mbunge wa jimbo hilo ambaye ni wa upinzani, Madiwani na Mwenyekiti wa halmashauri kwa kuwa ndiyo wenye kusimamia miradi na kuwapa taarifa wananchi, Lakini viongozi hao wamekuwa wakifanya mambo wanavyotaka na kuacha wananchi wakipata taabu kwa sababu ni wa chama cha Upinzani (CHADEMA). 
Hata hivyo Kinana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani