MSICHANGIE SHEREHE PEKEE CHANGIENI NA MATIBABU - DC SIKONGE
![](http://3.bp.blogspot.com/-jIGCXT83QCc/VIbno-tiKsI/AAAAAAAAL4I/FquXQSz0Rrg/s72-c/NHIF%2BSIKONGE.5.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selengu akimkabidhi kadi ya kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF mmoja kati ya wakulima wa tumbaku katika kijiji cha Kisanga wilayani humo wakati wa kampeni ya Uzinduzi wa mfuko huo.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kisanga waliohudhuria uzinduzi wa kampeni hiyo ya uhamasishaji kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF wilayani Sikonge.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
“Msichangie sherehe pekee changieni na matibabu”- DC Sikonge
Mkuu wa wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selengu akimkabidhi kadi ya kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF mmoja kati ya wakulima wa tumbaku katika kijiji cha Kisanga wilayani humo wakati wa kampeni ya Uzinduzi wa mfuko huo.
Mkuu wa wilaya ya Sikonge akikabidhi kadi ya CHF kwa mkazi wa kijiji cha Kisanga wilayani humo.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kisanga waliohudhuria uzinduzi wa kampeni hiyo ya uhamasishaji kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF wilayani Sikonge.
Wananchi wakiwa...
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Umuhimu wa Krismasi siyo sherehe pekee
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Watanzania changieni katika elimu
10 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Jafo: Changieni miradi ya maji
MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jafo, amewasihi wakazi wa jimbo hilo kuzingatia uchangiaji wa mfuko wa maji ili kuwezesha miradi inayotekelezwa kuwa endelevu na kuondokana na kero ya maji ambayo imekua...
11 years ago
Habarileo31 Dec
Maalim Seif: Wazazi changieni elimu
WAZAZI visiwani hapa wametakiwa kubadilika na kuachana na dhana, kwamba Serikali ndiyo yenye jukumu la kusomesha wanafunzi wote.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5_GSbikYdUM/U6c1mmeqGRI/AAAAAAAAO_U/VHgKySlIOuc/s72-c/8.jpg)
NAPE: WASOMI CHANGIENI MAONI YENU KATIKA KUBORESHA SERA MBALI MBALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-5_GSbikYdUM/U6c1mmeqGRI/AAAAAAAAO_U/VHgKySlIOuc/s1600/8.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Qi1ub-Ou24/U6c13J3AkUI/AAAAAAAAO_c/C6lPhaEA3UA/s1600/4.jpg)
11 years ago
TZToday27 Apr
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
DC akabidhi madawati 200 Sikonge
SERIKALI wilayani Sikonge, Tabora imekabidhi madawati 214 kwa shule za msingi 10 yenye thamani ya sh milioni 13.9. Mkuu wa Wilaya (DC) ya Sikonge, Hanifa Selengu, alikabidhi madawati hayo baada...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Sikonge na mikakati ya kuondokana na umasikini
JITIHADA za kupambana na umasikini wilayani Sikonge, Tabora zimeendelea kuchukuliwa na sasa sura yenye muelekeo imeanza kujionyesha kufikiwa kwa maendeleo na kuondokana na umasikini kwa wananchi wake. Jitihada hizo zimelenga...