Sikonge na mikakati ya kuondokana na umasikini
JITIHADA za kupambana na umasikini wilayani Sikonge, Tabora zimeendelea kuchukuliwa na sasa sura yenye muelekeo imeanza kujionyesha kufikiwa kwa maendeleo na kuondokana na umasikini kwa wananchi wake. Jitihada hizo zimelenga...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Jul
MAONI: Tuitumie michezo kuondokana na umaskini
>Alhamisi, Julai 9 mwaka huu wakati akivunja Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete aliainisha miongoni mafanikio yake katika sekta ya michezo kwa miaka 10 ya uongozi wake.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Waaswa kuondokana na kilimo cha mazoea
>Wakulima wameaswa kuondokana na kilimo cha mazoea, badala yake watumie kanuni bora za kilimo ili waweze kuongeza kiwango cha uzalishaji na kipato katika familia zao.
10 years ago
Habarileo25 Jan
Watanzania wahimizwa kuondokana na simu bandia
WAKATI matumizi ya teknolojia yakielezwa kuongezeka katika nchi za Afrika hasa ya simu, Watanzania wameshauriwa kutumia simu zenye viwango vya kimataifa ili kuepukana na athari za matumizi ya simu bandia.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe45Bx*uOV00GyuZ5JSVAzC6jyk8Rs8KKnhFklwiB73hsroxF927tTqePAAPcuMlQAECvbVsM7ipTsbErfU9ySdx/1.jpg?width=650)
VIJANA WAASWA KUJITAMBUA ILI KUONDOKANA NA UMASKINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika jana mjini Tabora,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchini Bw. James Kajugusi. Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchini Bw. James Kajugusi akitoa mada kuhusu majukumu ya Maafisa Vijana wakati… ...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WJXvpFDkBME/XkkH7tiRzWI/AAAAAAALdjo/9cgHzV_NXnsKdc7PEAj3CiIISHF-UsskACLcBGAsYHQ/s72-c/c186d94c-5695-4c0b-a8f2-22b7bec590db.jpg)
VIJANA WATAKIWA KUONDOKANA NA KUTEGEMEA AJIRA ZA SERIKALINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-WJXvpFDkBME/XkkH7tiRzWI/AAAAAAALdjo/9cgHzV_NXnsKdc7PEAj3CiIISHF-UsskACLcBGAsYHQ/s640/c186d94c-5695-4c0b-a8f2-22b7bec590db.jpg)
Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, vijana, Ajira, Sera na watu wenye ulemavu Mhe, Anthony Mavunde katika Kongamano la Umoja wa vijana CCM mkoa wa Kagera chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Ndg Happiness Runyogote katika ukumbi wa Linas uliopo manispaa ya Bukoba...
10 years ago
Michuzi25 Sep
WAKAZI WA MANISPAA YA SONGEA KUONDOKANA NA TATIZO LA MAJI
![http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698](http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698)
WANANCHI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wataondokana na tatizo la upatikanaji wa maji lililokuwa likiwakumba kwa muda mrefu hususani kipindi cha kiangazi baada ya kuanza kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa kitega maji ambao unatekelezwa na kampuni ya Sinani Building Contactors Ltd yenye makao yake makuu mkoani Mtwara katika eneo la Ruhira mjini humo ambapo utagharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni mbili mpaka kukamilika kwake.
Hayo yalisemwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-knbfAjs6WsA/VSjgA-lGsKI/AAAAAAADhXA/KGTdbBdDLX4/s72-c/coastal-east-africa-threats-07302012HI_114886.jpg)
UVUVI ENDELEVU UTAWASAIDIA WAVUVI KUONDOKANA NA UMASKINI-BALOZI MANONGI
![](http://3.bp.blogspot.com/-knbfAjs6WsA/VSjgA-lGsKI/AAAAAAADhXA/KGTdbBdDLX4/s1600/coastal-east-africa-threats-07302012HI_114886.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RxVNoOoAEBI/VSjBYOlWx4I/AAAAAAAHQO8/rjW-jH5SfyM/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
UVUVI ENDELEVU UTAWASAIDIA WAVUVI KUONDOKANA NA UMASKINI - BALOZI MANONGI
Na Mwandishi Maalum, New York Tanzania, kupitia Mwakilishi wake wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, imeelezea kuridhishwa kwake na namna ambavyo Mashirika ya Kimataifa naTaasisi binafsi zinavyoshirikiana na kwa karibu na serikali na taasisi zake kuimarisha sekta ya uvuvi. Ushirikiano huo umeifanya sekta ya uvuvi nchini kuwa wenye tija na hivyo kuchangia katika ongezeko la kupato na kuwaondoa katika umaskini jamii ya watanzania ambao maisha yao ya kila...
11 years ago
Michuzi16 May
KINGUNGE AWATAKA WATANZANIA KUONDOKANA NA IMANI POTOFU JUU YA TIBA ASILIA
![2 (14)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/05/2-14.jpg)
![3 (9)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/05/3-9.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania