MSTALI KWA MSTALI NA SHIKOROBO YA SHETTA
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shetta. UKITAJA video bora tano za muziki wa Bongo Fleva zinazotikisa kwa kipindi hiki ni wazi utataja video ya Shikorobo ya Shetta akishirikiana na staa mkubwa wa Nigeria, KCEE ambayo imeongozwa na mtayarishaji mkubwa wa video kutoka nchini Afrika Kusini, Mike Ogoke ‘Godfather’. Ubora wa video hiyo na wimbo wenyewe ni kati ya vitu vinavyofanya mashabiki wengi wa muziki kuupenda kila...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/f6SWgbC9I2I/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/f6SWgbC9I2I/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Shetta aingia kwa ubabe shoo ya Juma Nature
NA RHOBI CHACHA
AKIWA na wapambe 15 msanii wa Bongo Fleva, Nurdin Bilali ‘Shetta’, alilazimika kutumia nguvu za ziada ili kuingia na wapambe wake hao katika shoo ya kuadhimisha miaka 16 ya muziki kwa msanii Juma Nature, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Shetta ilimlazimu kufanya uamuzi huo baada ya njia yake ya kutishia kususia kufanya onyesho lake katika onyesho hilo kupuuzwa huku akikataliwa kuingia na idadi hiyo kubwa ya wapambe wake badala yake...
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Shetta kutoka tena na Diamond
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nurdin Bilal ‘Shetta’, amemshirikisha tena mkali wa muziki huo, Nassib Abdul ‘Diamond’, katika ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Mama Qayllah’. Shetta aliwahi...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
‘Kerewa’ ya Shetta yatafuna mil. 21
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Shetta, amesema ametenga sh milioni 21 kwa ajili ya video ya wimbo wake wa ‘Kerewa’ ambayo anatarajia kuifanya na mtayarishaji mahiri kutoka Afrika...
11 years ago
CloudsFM30 Jun