Msuva: Mtauona moto wangu
![](http://api.ning.com:80/files/Jn0HiigvFFyvlAoPFfw5KS7R2irN8vbrI74zbtpXe*75Yr9FRqpB9kBH-gN6rIbzzYRgKclceOg2zKLKvDhushGLpL*bGey8/1.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Ibrahim Mussa BAADA ya kufanikiwa kuibuka mfungaji bora wa Kombe la Mapinduzi, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, amesema kuwa kwa sasa akili na malengo yake amehamishia katika Ligi Kuu Bara kwa kuhakikisha anafunga mabao zaidi. Akizungumza na Championi Jumamosi, Msuva alisema kuwa amekuwa akijituma katika kuisaidia timu yake kutokana na sapoti kubwa anayoipata kutoka kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSserunkuma: Subirini muone moto wangu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vD-hYj2mu0Q*ReSH68Ob5zw141IjOJMG0IflAfwNt3nxCnbrMJa41NdugvfmH1DcPisx-X8USU9B35s7jTBbPN5ULHWwffWN/MUME.jpg)
MUME: MKE WANGU KANICHOMA KWA MAJI YA MOTO NA MWANANGU
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!
9 years ago
Habarileo25 Oct
Msuva matumaini kibao
MFUNGAJI bora wa msimu uliopita wa ligi kuu bara, Simon Msuva amesema kuanzia benchi katika mechi tatu zilizopita hakumtii hofu ya kupoteza nafasi yake ya kuitumikia Yanga.
10 years ago
Vijimambo15 Apr
Yanga wamchanganya Msuva
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2685162/highRes/991420/-/maxw/600/-/ga0tf2/-/msuva+picha.jpg)
Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani.
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Msuva hakamatiki 2015
9 years ago
TheCitizen23 Nov
Msuva: Professionalism comes naturally