Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sserunkuma: Subirini muone moto wangu

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mganda, Simon Sserunkuma. Na Omary Mdose
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Simon Sserunkuma, amefunguka kuwa ataonyesha moto wake katika michezo ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuendelea keshokutwa Ijumaa.Sserunkuma amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea timu ya Express ya Uganda, anatarajiwa kushuka dimbani kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Tambwe: Tumeelewana na Okwi, subirini moto wetu

Na Khadija Mngwai
MSHAMBULIAJI wa Simba, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, amefunguka kuwa anafurahia ushirikiano wake na Emmanuel Okwi katika kikosi cha Simba na kuahidi kuwa watafanya vizuri katika mechi zijazo.
Kauli ya Tambwe imekuja muda mfupi kabla ya Simba kuivaa Polisi Moro katika mechi ya Ligi Kuu Bara, kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini. Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi...

 

10 years ago

GPL

Msuva: Mtauona moto wangu

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Ibrahim Mussa
BAADA ya kufanikiwa kuibuka mfungaji bora wa Kombe la Mapinduzi, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, amesema kuwa kwa sasa akili na malengo yake amehamishia katika Ligi Kuu Bara kwa kuhakikisha anafunga mabao zaidi. Akizungumza na Championi Jumamosi, Msuva alisema kuwa amekuwa akijituma katika kuisaidia timu yake kutokana na sapoti kubwa anayoipata kutoka kwa...

 

10 years ago

GPL

MUME: MKE WANGU KANICHOMA KWA MAJI YA MOTO NA MWANANGU

Ni hali ya kusikitisha na kustaajabu kwa  jamii baada ya Tunu Kimaro kummwagia maji ya moto mumewe, William Mushi (32), mkazi wa Mabibo  jijini Dar es Salaam pamoja na mtoto wake mchanga. Tukio hilo la kikatili lilitokea Agosti 15, mwaka huu nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam na lilishangaza majirani kutokana na Tunu kudaiwa kuchukuwa maji ya moto yaliyokuwa yanachemka na kuwamwagia bila huruma. Bw. William Mushi...

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli: Subirini ushindi wa tsunami

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, amewahakikishia wana-CCM na Watanzaia kwa ujumla kuwa mwaka huu, chama kitapata ushindi wa Tsunami na si wa kishindo wala kimbunga.

 

10 years ago

Mwananchi

Tegete: Subirini, ndiyo kwanza nimeanza kazi Yanga

Kazi imeanza kwa mshambuliaji Jerryson Tegete ambaye baada ya kuitungua Stand United ya hapa kwa mabao mawili, Jumamosi ameeleza kuwa hakuna kulala.

 

10 years ago

Dewji Blog

Subirini kupiga kura, sio kuandamana waambiwa Singida

DSC00856

Baadhi ya magari ya jeshi la polisi mkoa wa Singida, yakiwa yamebeba askari kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wanachama wa CHADEMA ya kupiga kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba. Hadi tunakwenda mtamboni,wanachama hao pamoja na mabango yao walishitukia nguvu ya polisi na kufuta maandamano hayo.

Na Nathaniel Limu, Singida

KAMANDA wa jeshi la polisi mkoa wa Singida,SACP,Geofrey Kamwela amewashauri wananchi kuacha kupoteza muda wao bure kushiriki maandamano ya kupinga Bunge Maalum la Katiba na...

 

10 years ago

GPL

Mgosi: Nipangeni na Kiiza muone mabao

Straika mkongwe wa Simba, Mussa Mgosi. Wilbert Molandi,Dar es Salaam
STRAIKA mkongwe wa Simba, Mussa Mgosi, ametamka kuwa kama timu yake inataka mabao, basi apangwe na Mganda, Hamis Kiiza kikosini. Washambuliaji hao wote walijiunga kwenye kikosi cha Muingereza, Dylan Kerr hivi karibuni kwa mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo iliyoweka kambi yake visiwani Zanzibar. Mgosi aliyetokea Mtibwa Sugar baada ya kumaliza mkataba...

 

9 years ago

Mtanzania

Masanja: Uchungaji si mzaha, jaribuni muone

masanjaMCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, amewataka wanaomtuhumu kwamba anatumia tiketi ya uchungaji kama njia ya kujiingizia kipato wajaribu kazi hiyo wataona malipo yake.

Aliongeza kuwa uchungaji ni wito na siyo kazi, pia uchekeshaji ni ajira yake, hivyo hawezi kuacha uchekeshaji kwa sababu ya uchungaji kwa kuwa hakiuki miiko ya uchungaji.

“Eti wanasema uchungaji na siasa wapi na wapi, mbona kuna chama cha siasa kimojawapo mgombea wao wa urais ameletwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miyeyusho: Njooni muone ninavyomkalisha Mkenya

MWANAMASUMBWI Francis Miyeyusho wa Tanzania, anakabiliwa na pambano dhidi ya David Chalanga wa Kenya, litakalopigwa Desemba 31 katika Ukumbi wa Msasani Club, jijini Dar es Salaam. Ni pambano muhimu kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani