Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgosi: Nipangeni na Kiiza muone mabao

Straika mkongwe wa Simba, Mussa Mgosi. Wilbert Molandi,Dar es Salaam
STRAIKA mkongwe wa Simba, Mussa Mgosi, ametamka kuwa kama timu yake inataka mabao, basi apangwe na Mganda, Hamis Kiiza kikosini. Washambuliaji hao wote walijiunga kwenye kikosi cha Muingereza, Dylan Kerr hivi karibuni kwa mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo iliyoweka kambi yake visiwani Zanzibar. Mgosi aliyetokea Mtibwa Sugar baada ya kumaliza mkataba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Simba yamrejesha Mgosi

mgosiNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), safari hii imemrejesha mshambuliaji wake wa zamani, Musa Hassan Mgosi, huku ikimnasa pia kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohammed Abrahman Mohammed.

Mgosi, aliyeichezea Mtibwa Sugar msimu uliopita, alitemwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2010/11 na kutimkia DC Motema Pembe ya DRC, kabla ya kurejea tena nchini.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mwananchi

Mgosi azipotezea Yanga, Azam FC kiaina

Mshambuliaji na nahodha wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amewataka wachezaji wenzake kujituma zaidi ili wapate matokeo mazuri yanayoweza kuwapa ubingwa badala ya kufuatilia matokeo ya timu nyingine, hasa Yanga na Azam.

 

9 years ago

Mtanzania

Masanja: Uchungaji si mzaha, jaribuni muone

masanjaMCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, amewataka wanaomtuhumu kwamba anatumia tiketi ya uchungaji kama njia ya kujiingizia kipato wajaribu kazi hiyo wataona malipo yake.

Aliongeza kuwa uchungaji ni wito na siyo kazi, pia uchekeshaji ni ajira yake, hivyo hawezi kuacha uchekeshaji kwa sababu ya uchungaji kwa kuwa hakiuki miiko ya uchungaji.

“Eti wanasema uchungaji na siasa wapi na wapi, mbona kuna chama cha siasa kimojawapo mgombea wao wa urais ameletwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya: Mgosi kwenda na mkewe

BAADA ya kijiwe kufanyiwa mtima nyongo na kuenguliwa kushiriki Bunge la Katiba, mmoja wetu Mgosi Machungi amejipenyeza kama mzee Kimdunge Ngumaru Mwehu aliyepitia chama cha waganga wa jadi. Mgosi Machungi...

 

10 years ago

GPL

Sserunkuma: Subirini muone moto wangu

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mganda, Simon Sserunkuma. Na Omary Mdose
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Simon Sserunkuma, amefunguka kuwa ataonyesha moto wake katika michezo ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuendelea keshokutwa Ijumaa.Sserunkuma amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea timu ya Express ya Uganda, anatarajiwa kushuka dimbani kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgosi aipa masharti mazito Simba

Mshambuliaji mahiri wa Mtibwa Sugar, Musa Hassan ‘Mgosi’ ameitaka klabu yake ya zamani ya Simba kuvunja benki kama kweli ina nia ya dhati ya kupata saini yake kwenye kipindi hiki cha usajili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miyeyusho: Njooni muone ninavyomkalisha Mkenya

MWANAMASUMBWI Francis Miyeyusho wa Tanzania, anakabiliwa na pambano dhidi ya David Chalanga wa Kenya, litakalopigwa Desemba 31 katika Ukumbi wa Msasani Club, jijini Dar es Salaam. Ni pambano muhimu kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani