MTAALAMU WA BASKELI JOSEPH MWAIPAJA AKITOA BURUDANI
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMARTHA MWAIPAJA AKITOA BURUDANI
10 years ago
GPLMWAIPAJA AKITOA BURUDANI DAR LIVE SIKUKUU YA X-MAS
10 years ago
GPLVANESSA MDEE AKITOA BURUDANI SERENGETI FIESTA 2014
9 years ago
MichuziSt. Joseph & Forodhani ALUMNI kufanyika Jumamosi hii Septemba 26, 2015 viwanja vya St Joseph Cathedral High School jijini Dar es salaam
St Joseph &Forodhani ALUMNI imeandaa “reunion” mkutano wa pamoja siku ya Jumamosi tarehe 26 September kwa wanafunzi...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
10 years ago
GPLSANGOMA AZIMIA AKITOA MAJINI!
10 years ago
MichuziMartha Mwaipaja apania kuburudisha tamasha la Krismass.
“TAMASHA linafanyika siku maalum ambayo Yesu Kristo amezaliwa, nitatoa huduma kwa njia ya uimbaji naomba wakazi wa mikoa yote mitatu wafike kwa wingi wale ambao hawanifahamu pia watanifahamu siku hiyo na wataguswa na kupata ujumbe uliotukuka,” anasema mwimbaji Martha Mwaipaja. Mwimbaji huyo anasema kuwa amejipanga vilivyo ikiwa pamoja na kufanya maandalizi ya hali ya juu huku akisistiza kuwa atafanya makubwa katika tamasha la Krismasi ambalo litakuwa la pili kufanyika. Mwaipaja ...
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Martha Mwaipaja, Jesca, Mwahangila kupanda jukwaa la Krismasi
NA MWANDISHI WETU
WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili hapa nchini, Martha Mwaipaja, Jesca BM na Christopher Mwahangila, wanatarajia kupanda katika jukwaa la Tamasha la Krismasi linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Waimbaji hao wanaungana na wenzao waliotangulia kuthibitisha kushiriki tamasha hilo, ambalo lina malengo ya
kurudisha shukrani kwa Mungu baada ya kufanikisha uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu.
Mwenyekiti...
11 years ago
Michuzi16 Mar