Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtalii afa akijipiga ‘selfie’ Taj Mahal

Mtalii kutoka Japan amefariki baada ya kuteleza na kuanguka kutoka kwenye ngazi katika jengo maarufu la Taj Mahal nchini India.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtalii kutoka China afa akiogelea Dar

WATU wawili wamekufa maji jijini Dar es Salaam katika Sikukuu ya Krismasi akiwemo mtalii kutoka China aliyekufa wakati akiogelea na wenzake katika Hoteli ya Golden Tullip jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

USHIRIKIANO: Balozi Taj awapa somo wafanyabiashara

>Wafanyabiashara wa Tanzania wamehamasishwa kushiriki katika maonyesho mbalimbali yanayoratibiwa na wenzao wa Ufaransa ili kujifunza na kuongeza tija katika uhusiano uliopo wa nchi hizi mbili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mtalii wa Demark abakwa India

Polisi nchini India wanachunguza kisa cha mtalii mwanamke raia wa Denmark aliyebakwa na genge la watu mjini Delhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtalii anasa kwenye miamba Mlima K’njaro

Mtalii mmoja raia wa Ujerumani, Jeane Traska (32) amenasa katika miamba ya kilele cha Mawenzi cha Mlima Kilimanjaro baada ya kwenda kinyemela eneo hilo ambalo haliruhusiwi kupandwa na watalii isipokuwa kwa ruhusa maalumu.

 

11 years ago

GPL

MTALII KUTOKA UJERUMANI AKWAMA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO

Mlima Kilimanjaro. Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kwa jina la Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda juu. Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa kutumia njia ya Rongai -...

 

11 years ago

Michuzi

NEWZZZ ALERT:KIKOSI CHA UOKOAJI TANAPA CHAMNASUA MTALII ALIYENASA KILELE CHA MAWENZI

HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA TAARIFA KWA UMMA
MTALII ALIYEKWAMA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO AOKOLEWA.
Kikosi cha Uokoaji katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kimefanikiwa kumuokoa mtalii Bi. Jeanne Traska (32) kutoka Ujerumani pamoja na muongoza wageni Athuman Juma ambao jana walikwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro. Kikosi cha Uokoaji cha TANAPA kiliweza kufika eneo la kilele cha Mawenzi na kwa kutumia mbinu za uokoaji za kisasa kabisa kiliweza kuwanasua...

 

10 years ago

Michuzi

SELFIE

Ankal akipata selfie na wadau wa Globu ya jamii uwanja wa ndege wa Geita gold mines asubuhi hii.

 

9 years ago

Global Publishers

RED Selfie

RED Selfie Kila wiki washindi wawili wanajishindia #SamsungJ2 kupitia @Opera na @VodacomTanzania  #REDSelfie

 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani