Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtawa: Niliishia kuwa Mtazamaji mashindano ya Afrika

Miaka mitano iliyopita, Geofrey Edward Mtawa aliamua kujikita na kuwa mwana judo baada ya kupata mafunzo kutoka kwa kocha wa mchezo huo raia wa Cuba aliyekuja nchini kutoa mafunzo wakati huo akiwa mtumishi wa Jeshi la Magereza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya karate.

Na Rose Masaka-MAELEZO Umoja wa Wapiganaji wa Sanaa ya Mapigano Duniani (UPAM) unaandaa shindano la kimataifa la wapiganaji ambalo linatarajiwa kufanyika nchini kati ya Mwezi Desemba mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao kutokana na ruhusa itakayotolewa na Serikali kwa mamlaka zinazohusika. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais wa UPAM Prof. Maurizi Mardina alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Profesa Mardina amesema kuwa mchezo wa kupigana ni mchezo mzuri ambao unahitaji...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashindano ya wakimbiaji afrika yaja

Chama cha Riadha nchini Tanzania kimeandaa mashindano maalumu kwa ajili ya kuwapa mazoezi wanariadha .

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

MASHINDANO YA AFRIKA: Azam, Yanga zapewa neno

>Licha ya kushinda mechi zao za awali dhidi ya wapinzani wao, El- Merreikh ya Sudan na BDF XI ya Botswana, Azam na Yanga zimepewa angalizo zinapojiandaa kwa mechi za marudiano.

 

11 years ago

Habarileo

Mashindano ya tenisi Afrika Mashariki yaanza leo

MASHINDANO ya tenisi ya Vijana ya Afrika Mashariki yanatarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA MWENYEJI WA MASHINDANO YA 8 YA MAJESHI YA AFRIKA MASHARIKI.

Mkuu wa Bregedi ya Nyuki ambae ni Makamo Mwenyekiti wa michezo ya Majeshi Bregedia Jenerali Sharif Sheikh Othman akizungumza na waandishi wa habari kuhusu michezo ya nane ya Majeshi ya Jumuia ya Afrika Mashariki. Mkuta huo umefanyika huko Bregedi ya Nyuki Migombani Zanzibar.Waandishi wa Habari kutoka vyombo tofauti wakimsikiliza Bregedia Jenerali Sharif Sheikh Othman (hayupo pichani) katika Mkutano wake na wandishi leo. Mkurugenzi wa ufundi wa mashindano hayo upande (JWTZ) Luteni Kanali...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi mashindano ya Kimataifa ya Wushu

Na Daud Manongi, WHVUM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Wushu (Kung fu) yatakayofanyika hapa nchi kuanzia tarehe 30 hadi 31 katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Hayo yamebainishwa na Rais wa Chama cha Mchezo wa Wushu nchini Mwalami Mitete alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Katika taarifa yake Mwalami alisema kuwa mashindano hayo yatajumuisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani