MTEMVU; ALIFICHUA SIRI ZA MWALIMU NYERERE-8
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/mtemvu-na-nyerere.jpg?width=650)
Zuberi Mtemvu baada ya kuachana na Tanu alianza kuongoza African Congress na alikuwepo mtu anaitwa Mashado ambaye alikuwa akiongoza chama cha siasa chenye mrengo wa Kiislamu kiitwacho All Muslim National Union (AMNUT). Â Hapa ningependa kueleza kuwa katika wanachama wa mwanzo katika Tanu alikuwa mzee Said Chamwenyewe. Huyu alikuwa mwanachama shupavu wa Tanu na alikuwa karibu sana na Mtemvu na Mwalimu Nyerere. Mtemvu alipohama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Mwalimu Nyerere na siri ya maendeleo ya Kiswahili nchini
9 years ago
GPL14 Oct
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GrumRRxu4WA/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Mwalimu Nyerere hatotoweka
KADI yangu ya chama cha TANU Na.C.875903 ya 20.04.1971, tawi la Bank-NBC- Dar es Salaam, na pia kumbukumbu yangu ya kuwa mwanachama wa kikundi cha ‘Tanu Youth League’ tokea 1968...
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Tunakukumbuka Mwalimu Nyerere
LEO Tanzania inaadhimisha miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, aliyefarikidi dunia 14/10/1999 nchini Uingereza. Kwa namna ya pekee tunawatakia Watanzania wote maazimisho mema, lakini kubwa kuliko...
10 years ago
Michuzi16 Mar
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere ni leo
11 years ago
Habarileo17 May
Waliomtusi Mwalimu Nyerere watubu
WABUNGE wanaodaiwa kumkashifu Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere wakati wa Bunge Maalumu la Katiba, wamempigia simu Mama Maria Nyerere kumuomba msamaha, kutokana na maneno ya kashfa ndani ya bunge hilo.