Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTEULE WA CCM JIMBO LA MBEYA MJINI AKABILIWA NA KESI YA JINAI

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Mbeya Sambwee Shitambala 
Na Mwandishi wetu,Mbeya
KESI ya kuingia kwa jinai inayomkabili mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi Jimbo la Mbeya mjini, Sambwee Shitambala, imeendelea kusikilizwa leo katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya.

Shitambala ambaye ni Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, anatuhumiwa kwa kosa la kuingia kwa jinai baada ya kuvamia na kujenga kwenye eneo la mtu kinyume na sheria katika kiwanja kilichopo eneo la Gombe...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SOPHIA SIMBA AMNADI MGOMBEA UBUNGE CCM JIMBO LA MBEYA MJINI SAMBWEE SHITAMBALA.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ambaye piya ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amnadi mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), katika mkutano wa adhara wa kampeni za Mgombea Ubunge uliofanyika katika Kata ya Iganzo Jijini Mbeya.Baadhi ya Wanachama na Wakazi wa Iganzo wakimpongeza Mgombea Ubunge Sambwee Shitambalaa.PICHA NA FADHIRI ATICK-MR.PENGO MBEYA.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi ashukuru wananchi kwa kumchagua


Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Ndugu Cosato Chumi akiwa amebebwa na wananchi wa Kijiji cha Isalavanu wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za wingi.Ndugu Chumi ametembelea jumla ya Vijiji 15  kwa muda wa siku mbili katika kata za Bumilayinga, Sao Hill, Isalavanu na Rungemba. Baada ya kuapishwa ataendelea katika kata zilizosalia ambazo ziko katikati ya Mji wa Mafinga. Mhe. Chumi  amesema yeye sasa ni mbunge wa wote waliompa kura na hata ambao hawakumpa kura,...

 

9 years ago

Michuzi

Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravian Jimbo la Kusini mjini Tukuyu Leo

Msafara kutoka Usharika Tukuyu Mjini kuelekea Uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo katika Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravia Jimbo la Kusini, Viwanja vya Michezo Tandanle mjini Tukuyu Leo Kwaya Kuu Jimbo la Kusini- Kanisa la Moravian Tanzania; Ibada ya kuwekewa Wakfu Askofu Mteule Kenan Salim Panja wa kanisa la Moravian Jimbo la Kusini uwanja wa Tandale mjini Tukuyu leo.
Picha na Mpeli Nsekela

 

11 years ago

BBCSwahili

Gavana akabiliwa na kesi ya mauaji Kenya

Gavana wa kaunti ya Lamu Pwani ya Kenya amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa mauaji ya zaidi ya watu 60 mjini mpeketoni.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge mteule katika jimbo la Manonga mkoani Tabora, Seif Khamis Gulamali (CCM) awashukuru wananchi kwa kumchagua

   Mbunge mteule katika Jimbo la Manonga wilaya ya Igunga mkoani Tabora , Seif Khamis Gulamali (CCM) akiwashukuru wananchi wa Kata ya Ndebezi katika jimbo hilo kwa kumpa kura za kishindo, madiwani na Dkt. John Magufuli aliyekuwa anawania kiti cha urais.    Wananchi wa Kata ya Ntobo wakishangilia kwa furaha mara baada ya  Mbunge mteule katika Jimbo la Manonga wilaya ya Igunga mkoani Tabora , Seif Khamis Gulamali (CCM) alipowasili eneo hilo kwa kutoa shukrani kwa wananchi hao kwa kumchagua...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE MTEULE KATIKA JIMBO LA MANONGA MKOANI TABORA , SEIF KHAMIS GULAMALI (CCM) AWASHUKURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA

Mke wa Mbunge Mteule Bi Sarah Abdallah akitoa shukrani kwa wananchi wa kata ya Choma kwa kazi nzuri waliyoifanya. Mbunge mteule katika Jimbo la Manonga wilaya ya Igunga mkoani Tabora , Seif Khamis Gulamali (CCM) akiwapungia mkono pamoja na kuwashukuru wananchi wa kata ya Mwashiku kwa kuonesha upendo wa dhati baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo iloHakika ilikuwa ni siku ya furaha kwa wakazi wa jimbo la Manonga.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Sambwee Shitambala ajinadi

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya kwa tiketi ya CCM Mjini Sambwee Shitambala akishangiliwa na baadhi ya WanaCCM  Kata ya Maanga Jijini Mbeya alipokuwa katika kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini. Meneja kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi  ndugu Charles Mwakipesile akizungumza jambo katika mkutano wa adhara wa kampeni Ulio fanyika katika Kata ya Maanga Jijini Mbeya.Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm...

 

10 years ago

GPL

KESI YA JINAI YA SHEIKH PONDA YAAHIRISHWA

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda akiwa mahakamani. (Picha na Maktaba).
Na Haruni Sanchawa Kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro imeahirishwa leo kwenye Mahakama Kuu Dar es Salaam hadi Septemba 22, mwaka huu. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, Ponda anakabiliwa na mashtaka ya uchochezi...

 

11 years ago

Habarileo

CCM yapania kurejesha Jimbo la Iringa Mjini

BAADA ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kalenga, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinajiimarisha zaidi kirejeshe mikononi mwake, Jimbo la Iringa mjini mikononi mwake. Jimbo la Iringa Mjini linaloongozwa na Mchungaji Peter Msigwa aliyechaguliwa mwaka 2010 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani