MTITU AELEZA ALIVYOTESEKA USIKU KUCHA
![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL-XWPNGhMddIFeCynjPb7ubywt87zJIaUhvq5szpae2xnz1XQct8-Q3nWAzYO*rcegOtWQQ8Dj1Q-42gMk5mud6/Mtitu.jpg)
Na Gladness Mallya/Amani MSANII wa filamu Bongo, William Mtitu ameelezea jinsi alivyoteseka usiku kucha kisha kukimbizwa hospitali na kulazwa kwa saa kadhaa baada ya kuzidiwa. Msanii wa filamu Bongo, William Mtitu akiwa hoi hospitali. Akizungumza na Amani, Mtitu alisema kuwa hali hiyo ilitokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa malaria usiku wa kuamkia Jumanne ndipo alipelekwa katika hospitali moja iliyopo maeneo ya Magomeni Kagera,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Aaa76ACbkjKh*5dmOuffBq2g7oV0nviDFZePHhgu3w4Qg6v0CFa9qKoiCxAi-txy6WI-1AYjVMiKupI0gP7KwfYPbsGuXwPC/4.jpg)
DULLY AMLILIA BABAKE USIKU KUCHA
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Kifo cha George Floyd: Maelfu wajitokeza Marekani kushiriki mandamano usiku kucha
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Albino auawa, akatwa kucha
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Simba kunoa kucha ‘Sauzi’
TIMU ya Simba itakwenda nchini Afrika Kusini kusaka makali ya Ligi Kuu ya Bara itakayoanza Septemba 20, badala ya visiwani Zanzibar. Awali kambi ya timu hiyo ilikuwa iwe Zanzibar ambako...
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Ugunduzi:Rangi ya kucha kuzuia ubakaji
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeI6PgUbsT8q2xPAl0bfNxHDgiHf0AdSWqPfRjs55UVjRtgUStO0DHpNbuT6hrZ8n6ro*SVedU-tK3Rs9kcF5-WU/romanticgirl.jpg?width=650)
KUCHA FUPI HUKUNA KWA RAHA
10 years ago
Mtanzania03 Jun
Ukawa: Takukuru ikunjue kucha zake
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imetakiwa kukunjua kucha zake kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Profesa Ibrahim Lipumba, alisema sasa umefika wakati kwa Takukuru kuhakikisha wanadhibiti matumizi ya fedha kwa wagombea wanaotangaza nia...
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Balozi Seif akunjua kucha Zbar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imesema ipo tayari kutumia vyombo vyake vya dola kukabiliana na tishio lolote au mipango ya njama zinazokusudia kuleta vurugu wakati huu wa uchaguzi mkuu.
Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Idd, ameyasema hayo jana katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za CCM zilizofanyika Kijiji cha Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja.
Alisema tayari kuna baadhi ya wanasiasa, wameanza kujiandaa kutumia makundi ya vijana ili kuleta fujo...
11 years ago
Habarileo01 Aug
Akutwa na meno 65, kucha 447 za simba
RAIA wa Vietnam, Dong Van (47) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na meno 65 na kucha 447 za simba zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 189.