Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DULLY AMLILIA BABAKE USIKU KUCHA

Na Chande Abdalah/Risasi Mchanganyiko
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes maarufu kama Dully, Jumapili usiku alikesha akilia kiasi cha kushindwa kupokea simu kutoka kwa wadau mbalimbali waliompigia ili kumpa pole kwa msiba wa baba yake mzazi, Abby Sykes. Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes maarufu kama Dully akiwa mwenye huzuni kubwa baada ya kufiwa na baba yake. Mzee Sykes (63) alifariki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

‘Usiku wa marafiki wa Lowasa’: Shetta, Dully Sykes hapatoshi Triple A usiku wa leo

shet

Wasanii nyota wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal ‘Shetta na Abdulwaheed Sykes ‘Dully Sykes’, jioni ya leo wanatarajia kupiga shoo kubwa katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu, Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa”.

Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama ‘4 U Movement’, linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha ambapo mbali na wasanii hao pia...

 

10 years ago

GPL

MTITU AELEZA ALIVYOTESEKA USIKU KUCHA

Na Gladness Mallya/Amani MSANII wa filamu Bongo, William Mtitu ameelezea jinsi alivyoteseka usiku kucha kisha kukimbizwa hospitali na kulazwa kwa saa kadhaa baada ya kuzidiwa. Msanii wa filamu Bongo, William Mtitu akiwa hoi hospitali. Akizungumza na Amani, Mtitu alisema kuwa hali hiyo ilitokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa malaria usiku wa kuamkia Jumanne ndipo alipelekwa katika hospitali moja iliyopo maeneo ya Magomeni Kagera,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Maelfu wajitokeza Marekani kushiriki mandamano usiku kucha

Maandamano juu ya kifo cha raia mweusi wa Marekani George Floyd bado yanaendelea kwa usiku wa nane mfululizo

 

10 years ago

GPL

DULLY ANASWA NA TOTOZ KLABU YA USIKU!

Na RICHARD BUKOS/ijumaawikienda Kha! Hata kabla ya siku 40 baada ya kifo cha baba yake, Ebby Sykes aliyefariki wiki mbili zilizopita, legendary wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amenaswa klabu ya usiku akiwa na totoz za kumwaga hivyo kuibua minong’ono na mshangao ikidaiwa kwamba ni mapema mno kujirusha. Legendary wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ akiwa na totoz. Staa huyo wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHETTA,DULLY SYKES KUNOGESHA TAMASHA LA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASA JIJINI ARUSHA

pichaaaaaNa Pamela Mollel wa jamiiblog.Wasanii wawili wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal maarufu kama Shetta na Abdulwaheed Sykes” Dully Sykes” kesho jumamosi  wanataraji kunogesha katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu,Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa” .
Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama “4 U Movement” linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Messi na babake washtakiwa kwa wizi

Jaji mmoja nchini Uhispania ameagiza kwamba nyota wa timu ya Barcelona na Argenstina Lionel Messi ,ni sharti ashtakiwe kwa mashtaka ya kuibia mamlaka ya ushuru zaidi ya dola milioni 4.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamia wamzika babake mtoto aliyetekezwa

Babake mtoto mpalestina aliyeteketea hadi kufa baada ya nyumba yao kuchomwa moto na walowezi wa kiyahudi amezikwa katika ukingo wa magharibi

 

10 years ago

BBCSwahili

Babake mtoto Mpalestina aliyechomwa, ameaga

Babake mtoto wa kipalestina aliyechomwa moto hadi akafa na walowezi wa kiyahudi katika eneo la (West Bank) ameaga dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani