Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DULLY ANASWA NA TOTOZ KLABU YA USIKU!

Na RICHARD BUKOS/ijumaawikienda Kha! Hata kabla ya siku 40 baada ya kifo cha baba yake, Ebby Sykes aliyefariki wiki mbili zilizopita, legendary wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amenaswa klabu ya usiku akiwa na totoz za kumwaga hivyo kuibua minong’ono na mshangao ikidaiwa kwamba ni mapema mno kujirusha. Legendary wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ akiwa na totoz. Staa huyo wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

‘Usiku wa marafiki wa Lowasa’: Shetta, Dully Sykes hapatoshi Triple A usiku wa leo

shet

Wasanii nyota wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal ‘Shetta na Abdulwaheed Sykes ‘Dully Sykes’, jioni ya leo wanatarajia kupiga shoo kubwa katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu, Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa”.

Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama ‘4 U Movement’, linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha ambapo mbali na wasanii hao pia...

 

10 years ago

GPL

DULLY AMLILIA BABAKE USIKU KUCHA

Na Chande Abdalah/Risasi Mchanganyiko
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes maarufu kama Dully, Jumapili usiku alikesha akilia kiasi cha kushindwa kupokea simu kutoka kwa wadau mbalimbali waliompigia ili kumpa pole kwa msiba wa baba yake mzazi, Abby Sykes. Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes maarufu kama Dully akiwa mwenye huzuni kubwa baada ya kufiwa na baba yake. Mzee Sykes (63) alifariki...

 

10 years ago

Michuzi

SHETTA,DULLY SYKES KUNOGESHA TAMASHA LA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASA JIJINI ARUSHA

pichaaaaaNa Pamela Mollel wa jamiiblog.Wasanii wawili wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal maarufu kama Shetta na Abdulwaheed Sykes” Dully Sykes” kesho jumamosi  wanataraji kunogesha katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu mstaafu,Edward Lowasa lililopewa jina la “ Usiku wa marafiki wa Lowasa” .
Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama “4 U Movement” linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha...

 

11 years ago

GPL

Welbeck anaswa akibanjuka saa tisa usiku

Danny Welbeck na rafiki yake wa kike. MANCHESTER, England
SIKU chache baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, wachezaji wa Manchester United, Danny Welbeck na Tom Cleverley wamenaswa wakitoka kwenye mida ya starehe saa tisa usiku huku wakiwa na marafiki zao.…

 

11 years ago

GPL

LAIVU: STAA WA FILAMU ANASWA USIKU NA MKE WA MTU!

Na Shakoor Jongo
MCHEPUKO? STAA wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu amenaswa laivu akiwa kwenye pozi tata na mke wa mtu aliyetambulika kwa jina moja la Bonita. Staa wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu Tukio hilo lilijiri nje ya Mgahawa wa Great Wall uliopo Masaki jijini Dar, usiku wa saa saba ambapo kulikuwa na tafrija ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

GPL

MTUMISHI KANISA KATOLIKI AINGIA KANISANI USIKU, AIBA ANASWA!

Imelda mtema HII kali! Mtumishi mmoja anayetumikia nafasi ya ulinzi katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro (St. Peter) lililopo Oysterbay jijini Dar (jina halikufahamika), amenaswa katika chumba cha kuhifadhia chakula kinachoitwa Mwili wa Kristo (ekaristi) ndani ya kanisa hilo. Akiwa kwenye hali ya sintofahamu baada ya kukamatwa. Kwa mujibu wa mtawa (sista) mmoja wa kanisa hilo aliyeomba hifadhi ya jina, awali tabia ya wizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

Imezoeleka kuwa klabu za usiku zimekuwa zikitumika kwa mambo ya starehe huku viongozi wa dini wakizichukulia kama maeneo hatari kwa waumini wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani