Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa: Takukuru ikunjue kucha zake

???????????????????????????????NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imetakiwa kukunjua kucha zake kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Profesa Ibrahim Lipumba, alisema sasa umefika wakati kwa Takukuru kuhakikisha wanadhibiti matumizi ya fedha kwa wagombea wanaotangaza nia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA yatoa tathmini ya ziara zake

WANANCHI wengi nchini wamejitokeza kutaka Bunge la Katiba lijadili rasimu ya pili iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba na siyo nyingine. Msimamo huo wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI KUPITIA CHADEMA NA UKAWA AZINDUA KAMPENI ZAKE

Red Brigade akiimarisha ulinzi katika iwanja ya Dkt Slaa mjini Moshi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael kupitia Chadema na Ukawa uliofanyika jana.Baadhi ya viongozi na wagombea wa nafasi za Udiwani Kupitia Chadema na Ukawa.
Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo(kushoto) akiteta jambo na  mgombea Ubunge katika jimbo hilo ,Jafary Michael kupitia Chadema na UKAWA wakati wa uzinduzi wa kampeni mjini MoshiUmati wa wakazi wa mji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Albino auawa, akatwa kucha

Matukio ya kuuawa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) yamezuka upya mkoani Simiyu, baada ya Mughu Lugata (40) kuuawa kinyama kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana huku wakitoweka na baadhi ya viungo vyake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba kunoa kucha ‘Sauzi’

TIMU ya Simba itakwenda nchini Afrika Kusini kusaka makali ya Ligi Kuu ya Bara itakayoanza Septemba 20, badala ya visiwani Zanzibar. Awali kambi ya timu hiyo ilikuwa iwe Zanzibar ambako...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugunduzi:Rangi ya kucha kuzuia ubakaji

Wanafunzi wa chuo kikuu wanatengeza rangi mpya ya makucha itakayowasaidia wanawake kukwepa kubakwa. Gumzo limechacha mitandaoni

 

10 years ago

GPL

MTITU AELEZA ALIVYOTESEKA USIKU KUCHA

Na Gladness Mallya/Amani MSANII wa filamu Bongo, William Mtitu ameelezea jinsi alivyoteseka usiku kucha kisha kukimbizwa hospitali na kulazwa kwa saa kadhaa baada ya kuzidiwa. Msanii wa filamu Bongo, William Mtitu akiwa hoi hospitali. Akizungumza na Amani, Mtitu alisema kuwa hali hiyo ilitokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa malaria usiku wa kuamkia Jumanne ndipo alipelekwa katika hospitali moja iliyopo maeneo ya Magomeni Kagera,...

 

9 years ago

Mtanzania

Balozi Seif akunjua kucha Zbar

balozi-seifc2a0-ali-iddiNa Mwandishi Wetu, Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imesema ipo tayari kutumia vyombo vyake vya dola kukabiliana na tishio lolote au mipango ya njama zinazokusudia kuleta vurugu wakati huu wa uchaguzi mkuu.

Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Idd, ameyasema hayo jana katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za CCM zilizofanyika Kijiji cha Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja.

Alisema tayari kuna baadhi ya wanasiasa, wameanza kujiandaa kutumia makundi ya vijana ili kuleta fujo...

 

11 years ago

Habarileo

Akutwa na meno 65, kucha 447 za simba

RAIA wa Vietnam, Dong Van (47) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na meno 65 na kucha 447 za simba zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 189.

 

10 years ago

GPL

DULLY AMLILIA BABAKE USIKU KUCHA

Na Chande Abdalah/Risasi Mchanganyiko
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes maarufu kama Dully, Jumapili usiku alikesha akilia kiasi cha kushindwa kupokea simu kutoka kwa wadau mbalimbali waliompigia ili kumpa pole kwa msiba wa baba yake mzazi, Abby Sykes. Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes maarufu kama Dully akiwa mwenye huzuni kubwa baada ya kufiwa na baba yake. Mzee Sykes (63) alifariki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani