MTOTO ATUMIWA KUMWIBA MTOTO, AKAMATWA...
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro Hatari! Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa Kihonda mjini hapa anayesoma darasa la kwanza kwenye Shule ya Msingi Noto Sosario, anadaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake kisha kukamatwa na kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira zaidi ya 300. Mtoto mwenye umri wa miaka 8 anayedaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake. Tukio hilo la kushangaza lililonaswa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Akamatwa akijaribu kuuza mtoto wa miezi 3
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Akamatwa akitafuta mteja wa mtoto albino
11 years ago
GPLAKAMATWA KWA KULA MAITI YA MTOTO PAKISTAN
10 years ago
Mtanzania22 May
Mtoto akamatwa kwa tuhuma za kumuua mwenzake
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolla Hill, Judith Chomile (15) kwa tuhuma za mauaji.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kumnyonga ndugu yake, Edrin Mafwele (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Benard Bendel iliyopo Manispaa ya Morogoro.
Tukio hilo lilitokea juzi usiku wakati watoto hao walipokuwa nyumbani kwao.
Baba wa marehemu Edrin Mafwere aliyefahamika kwa jina la Barnabas Mafwele, mkazi...
9 years ago
GPLHAUSIGELI AIBA MTOTO DAR, AKAMATWA MWANZA
5 years ago
BBCSwahili06 May
Mtoto wa miaka mitano akamatwa Marekani akiendesha gari la wazazi wake
11 years ago
GPLMAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.