Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAUSIGELI AIBA MTOTO DAR, AKAMATWA MWANZA

Na Makongoro Oging’ KAA chonjo! Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’, Sheila Chacha (pichani) aliyekuwa akifanya kazi kwa Abraham Jullu maeneo ya Tegeta-Wazo, Dar anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Mkoa wa Mwanza akidaiwa kuiba mtoto wa tajiri yake aitwaye Coletha (1/8) jijini Dar. Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’, Sheila Chacha anayetuhumiwa kwa kuiba mtoto. Akizungumza na gazeti hili juzi, baba mzazi wa mtoto huyo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

'Hausigeli' aiba milioni 2.6/-

MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.

 

11 years ago

Habarileo

Mke aiba mtoto asiachike

MKAZI wa kijiji cha Kisumba, Manispaa ya Sumbawanga, Halima Nambeya (18) ametupwa jela mwaka mmoja na Mahakama ya wilaya ya Sumbawanga baada ya kukiri kosa la kuiba mtoto mchanga wa kiume kwa lengo la kulinda ndoa yake ili asiachike kwa kukosa mtoto.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed MsangiOFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ASAKWA WIZI WA MTOTO

Stori: Shomari Binda, Mara/UWAZI
MFANYAKAZI wa ndani anayefahamika kwa jina la Paulina Sobe anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mtoto wa bosi wake, Diana Meshack, mwenye umri wa miaka miwili, huko Musoma mkoani Mara, tukio lililotokea Januari 3 mwaka huu. RPC Mara akiwa na mtoto aliyeibiwa(kushoto) ni mama wa mtoto huyo. Kamanda wa Jeshi hilo mkoani Mara, ACP Philip Kalangi, aliliambia gazeti hili...

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AOMBA SAMAHANI

Jolly Tumuhirwe akimtesa mtoto Arnella. HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amefikishwa mahakamani leo. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe ameiambia mahakama kuwa anajutilia kile alichokifanya na anaomba msamaha. Ameshitakiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella.
Licha ya taarifa ya polisi kusema Jolly atashitakiwa kwa kosa la jaribio la mauaji, kiogozi wa mashitaka alimshitaki Jolly kwa kosa la...

 

10 years ago

GPL

MTOTO ATUMIWA KUMWIBA MTOTO, AKAMATWA...

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Hatari! Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa Kihonda mjini hapa anayesoma darasa la kwanza kwenye Shule ya Msingi Noto Sosario, anadaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake kisha kukamatwa na kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira zaidi ya 300. Mtoto mwenye umri wa miaka 8 anayedaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake. Tukio hilo la kushangaza lililonaswa...

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA

 Jolly Tumuhirwe (22). HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella… ...

 

10 years ago

GPL

VIDEO: HAUSIGELI ANASWA AKIMNYONYESHA MTOTO WA BOSI WAKE KENYA

HAUSIGELI mmoja nchini Kenya amenaswa akimnyonyesha mtoto wa bosi wake. Hausigeli huyo aitwaye Grace Mwikali Mwema amekutwa akifanya kitendo hicho siku mbili tangu aanze kazi japo jaribio lake halikufanikiwa kwa kuwa mtoto alikataa kunyonya. Mama wa mtoto aligundua tukio hilo kutokana na kamera aliyoitega nyumbani kwake na akuunganisha na simu yake ya mkononi. Msichana huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi akisubiri kupandishwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZAZI SOMENI HABARI HII YA KUSIKITISHA HAUSIGELI ALIVYOMFANYIA MTOTO

Mtoto, Samwel John akiwa na maumivu makali aliyoyapata baada ya kujeruhiwa kwa kisu.
Na Imelda mtema wa GPLUnyama! Dada wa kazi (hausigeli), aliyetajwa kwa jina moja la Rachel, mkazi wa Tabata-Shule jijini Dar, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua kisu jikoni kisha kumchomachoma nacho mtoto, Samwel John (4) anayeishi nyumba ya jirani.

Akizungumzia mkasa huo kwa masikitiko makubwa uliojiri hivi karibuni maeneo hayo, baba mzazi wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani