Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke aiba mtoto asiachike

MKAZI wa kijiji cha Kisumba, Manispaa ya Sumbawanga, Halima Nambeya (18) ametupwa jela mwaka mmoja na Mahakama ya wilaya ya Sumbawanga baada ya kukiri kosa la kuiba mtoto mchanga wa kiume kwa lengo la kulinda ndoa yake ili asiachike kwa kukosa mtoto.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Polisi mwanamke aiba mtoto, anaswa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ahmed MsangiOFISA wa Jeshi la Polisi nchini, anashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mbeya akituhumiwa kuiba mtoto mchanga mwenye umri wa siku saba.

 

9 years ago

GPL

HAUSIGELI AIBA MTOTO DAR, AKAMATWA MWANZA

Na Makongoro Oging’ KAA chonjo! Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’, Sheila Chacha (pichani) aliyekuwa akifanya kazi kwa Abraham Jullu maeneo ya Tegeta-Wazo, Dar anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Mkoa wa Mwanza akidaiwa kuiba mtoto wa tajiri yake aitwaye Coletha (1/8) jijini Dar. Mfanyakazi wa ndani ‘hausigeli’, Sheila Chacha anayetuhumiwa kwa kuiba mtoto. Akizungumza na gazeti hili juzi, baba mzazi wa mtoto huyo,...

 

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!

Rapper Mabeste ameshare kile alichoita “ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!” Mabeste akiwa na mke wake Lisa na mtoto wao Kendrick Hivi karibuni rapper huyo alielezea kwa kirefu jinsi mke wake Lisa Karl Fickenscher alivyougua kwa muda mrefu mara baada ya kujifungua mtoto wao Kendrick, kiasi cha kufikiri […]

 

10 years ago

GPL

MATUKIO YA BETHDEI YA MKE NA MTOTO WA MTITU

Keki yenye picha ya mke na mtoto wa Mtitu. Mtitu, mwanaye na mke wake wakiimba wimbo wa ‘Hapi Bethidei.’…

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto apewa jina la mke wa Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete ameanza ziara ya Mkoa wa Morogoro kwa kuzindua Mfumo wa Huduma za Afya za Masafa katika Kituo cha Afya cha Mwaya Wilaya ya Ulanga, ambako mtoto mchanga wa kike aliyezaliwa saa chache baada ya uzinduzi huo, alipewa jina la Salma, mke wa Rais Kikwete.

 

9 years ago

Mwananchi

Mfuko wa kumsaidia mke, mtoto wa Mawazo kuanzishwa

Mwili wa aliyekuwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo (Savimbi) umezikwa leo saa tisa alasiri kijijini kwao Chikobe Jimbo la Busanda mkoani Geita nyumbani kwa mjomba wake, huku simanzi, vilio na majonzi vikitawala.

 

10 years ago

Habarileo

‘Mke’ wa mbunge avamia kikao na mtoto mlemavu

ANAYEDAIWA aliyewahi kuwa mke wa mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM), Hawa Deus, jana alivamia kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala akiwa amesindikizwa na kundi la watu ambao mmojawao alikuwa amembeba mtoto wa mbunge huyo mwenye ulemavu, huku wakipiga kelele na kuwaacha wabunge na viongozi wa dini waliokuwepo kupigwa na butwaa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mke wa Mvungi akubali kumlea mtoto Nasra

Mke wa Rashid Mvungi, baba mzazi wa Nasra (4) aliyefichwa kwenye boksi kwa miaka minne, amekubali kumlea mtoto wake huyo wa kambo kwa hali na mali.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto adai mke wa ‘mbakaji’ alificha siri

Mtoto wa kike wa miaka 13 aliyenajisiwa na mwajiri wake, ameeleza kuwa alimtaarifu mke wa mtuhumiwa kuhusu vitendo hivyo, lakini wawili wakasameheana na kumtaka asiwaambie watu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani