Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO: POLISI WAMEMGONGA BABA, WAKAMUACHA MTARONI

Makongoro Oging’ na Chande Abdallah
Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Knight Support  ya jijini Dar, Octavian Nandi Mpendakazi (60), hali yake ni mbaya kwa kile kinachodaiwa aligongwa na gari la polisi na kuvunjika mbavu, mguu wa kushoto mara mbili pia kakatika utumbo siku ya Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Askari wa Kampuni ya Ulinzi ya Knight Support  ya jijini Dar, Octavian Nandi Mpendakazi. Mtoto...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Polisi auawa akiokoa mtoto asiuawe na baba yake mzazi

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime.
Askari Polisi PC Joseph Swai, ameuawa wakati akimwokoa mtoto wa miezi minane, aliyekuwa akiteswa na baba yake mzazi katika mtaa wa Chang'ombe Juu mjini hapa.

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime, alisema tukio hilo lilitokea jana saa 5:00 asubuhi na kumtaja mtoto aliyekuwa anateswa kuwa ni Valerian Mallya.

Alisema awali, polisi huyo alipigiwa simu na Mtendaji wa mtaa wa Chang'ombe Juu, akimjulisha kuwa amepokea taarifa kutoka kwa Oliva...

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE

 Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 17 kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa  Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...

 

9 years ago

Bongo5

Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!

Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]

 

9 years ago

Global Publishers

Odama kumuanika baba wa mtoto soon!

bb56d63a31a7af57Staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Na Suzan Kayogela.

BAADA ya kukataa katukatu kumuanika baba wa mtoto, staa wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ kwa mara ya kwanza amesema mwaka mpya na mambo mpya na kuwa sasa yupo tayari kumuanika na soon atajulikana.

Tangu ajifungue mtoto wa kiume, Jason miaka takriban miwili iliyopita, Odama alikuwa akikataa kumuweka wazi baba wa mtoto huyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba aua baba, mtoto

Simba amevamia nyumba ya mkazi mmoja wa Kijiji cha Sitalike wilayani Mlele mkoani Katavi na kuwaua watu wawili.

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO

Na Dustan Shekidele, MOROGORO JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Zamili Shabani kwa madai ya kumnyonga hadi kumuua mtoto wake wa kambo, (mwaka mmoja na nusu) huku mauaji hayo yakihusishwa na wivu wa mapenzi.   Abdulrahman Hamis Clemensi enzi za uhai wake. Tukio hilo la ajabu lililowaacha vinywa wazi wakazi wa eneo hilo lilijiri saa 6 mchana wa Desemba 2, mwaka huu kwenye nyumba waliopanga wanandoa hao, Zamili...

 

11 years ago

GPL

MTOTO: BABA AMEUAWA NIKIONA

Stori: Haruni Sanchawa na Mkongoro Oging'
MTOTO mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Joyce Jeremia, 11,(pichani)  amejeruhiwa vibaya katika mapigano ya wa kulima na Wamasai ambao ni wafugaji katika Kijini cha Laitini, Kiteto mkoani Manyara. Baba mdogo wa mtoto huyo Amos Njelu aliwasimulia waandishi wetu akiwa katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi) amesema kuwa mtoto huyo alijeruhiwa Jumamosi ya Januari 12, 2014...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Mtoto apate haki ya kumfahamu baba’

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Ezekiel Oluoch, ametaka katiba mpya iweke kipengele cha haki ya mtoto kumfahamu baba yake mzazi. Akichangia mjadala wa jumla kuhusu ibara za sura za...

 

11 years ago

GPL

SNURA AMWANIKA BABA WA MTOTO WAKE

Stori: GLADNESS MALLYA KWA mara ya kwanza msanii wa muziki nafi lamu Bongo,Snura Mushi amemwanika baba wa mtoto wake na  kusema ndiye mumewe mtarajiwa wa kufa na kuzikana. Pichani ni msanii wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi pamoja na baba "Hunter" wa mtoto wake wa kike.
Akipiga stori na Ijumaa, Snura alisema baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kutokana na ugomvi mkubwa waliokuwa nao yeye na mwanaume wake huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani