Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO SASA AMZUZUA DIAMOND

Kitendo cha kujaaliwa kupata mtoto wa kike, kimeonekana kumzuzua mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambapo sasa anadaiwa kushinda kutwa nzima chumbani akipiga picha za kuposti mitandaoni.Chanzo makini ambacho ni ndugu wa Diamond kimeeleza kuwa, tangu jamaa huyo aitwe Baba Tiffah, amekuwa akitumia muda mwingi na mwanaye huyo kiasi kwamba amepunguza hata kasi ya kufanya muziki na kutokula.  ...Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA UNAVYOMWACHA MTOTO WAKO NA BABYSITTY

Mcheza kwao utuzwa hiyo mtoto asiende mbali nanyumbani wakati housegirl akiwa busy na mishemishe yake mtoto utulizwa kwa njia hii.

 

10 years ago

Mwananchi

Baada ya Diamond, sasa Idris

Ndani ya wiki mbili tasnia ya burudani katika Tanzania imepata nafasi ya kujitutumua hivi. Wakati wiki moja imepita tangu msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,

 

9 years ago

GPL

TASWIRA ZA 40 YA MTOTO WA DIAMOND

Maandalizi yakiwa yamepamba moto nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar.



Wanafunzi wa Madrasa nao wapo kwa ajili ya 40 ya Tiffah. …

 

9 years ago

GPL

TIFFAH SI MTOTO WA DIAMOND

Mwandishi wetu Kazi ipo! Siku chache baada ya kuliona jua, mtoto wa kike ‘baby girl’ wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aliyempata kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah a.k.a Princess Tiffah anazidi kuwa gumzo. ...Soma zaidi===>http://goo.gl/VD59sx

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto wa Diamond azua jambo!

MAMA-DIAMOND-NA-MTOTOShani Ramadhani

VISA vimeanza! Siku chache baada ya nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata ‘baby girl’ aliyempa jina la Latifah kupitia kwa mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari’ kuna madai kwamba, jina la Latifah limezua mambo, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, baadhi ya wanafamilia wa Diamond hawakubaliani na jina hilo wakitaka kichanga huyo aitwe Sanura, jina la mama Diamond wakiamini kuwa, ndiyo historia ya enzi na enzi, kwamba mtoto...

 

10 years ago

GPL

UTATA MPYA MTOTO WA DIAMOND

MUSA MATEJA Utata mpya umeibuka wakati mama kijacho wa staa wa Bongo Fleva,  Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,  akitarajiwa kujifungua muda wowote kutoka sasa, ishu ni juu ya uraia wa mtoto atakayezaliwa. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1JkKOp8

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA DIAMOND, VISA VYAANZA

Shani Ramadhani VISA vimeanza! Siku chache baada ya nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata ‘baby girl’ aliyempa jina la Latifah kupitia kwa mzazi mwenziye Zarinah Hassan ‘Zari’ kuna madai kwamba, jina la Latifah limezua mambo, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1P0lrbZ ...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND, MTOTO WAZUA GUMZO

Mwandishi wetu GUMZO! Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mtoto wa dada yake Esma, Taraj wamezua gumzo la aina yake baada picha yao kutupiwa mtandaoni na watu kudhani ni yule Tiffah wa Diamond ambaye hajawahi kuonekana sura. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Esma kuiweka picha inayomuonesha Diamond akiwa amelala kitandani na Tahaj ndipo watu walipofikiri ni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani