Mtoto Shigela aliyezaliwa na VVU aaga Dunia jijini Mwanza
Marehemu Shigela ezni za uhai wake akihojiwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania Hoyce Temu.
Mtoto Shigela amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 29/05/2014 nyumbani kwao mkoani Mwanza akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.
Mtoto Shigela alikuwa ni mmoja kati ya watoto waliozaliwa na VVU na kipindi cha Mimi na Tanzania kilimtangaza na alipatiwa misaada mingi toka kwa Watanzania .
Bado msaada wako unahitajika kukamilisha mipango ya mazishi kwa mtoto wetu mpendwa Shigela.
Namba ya simu ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/10342004_1886404071498512_8618777191309208307_n.jpg)
MASKINI! MTOTO SHIGELA ALIYEZALIWA NA VVU AAGA DUNIA JIJINI MWANZA
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25 kituo cha afya Kibaoni apewa jina la Magufuli
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25,-10-2015 na kupewa jina la Magufuli katika kituo cha Afya cha Kibaoni wilayani Mlele Oktoba 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
9 years ago
MichuziMTOTO HATUMWI DUKANI LEO . NI KATIKA UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM JIJINI MWANZA.
Na:George Binagi-GB PazzoScreen kubwa itafungwa nje ya uwanja huo kwa ajili ya wale watakaokosa nafasi ya kuingia uwanjani kwa kuwa shughuli hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na Maeneo jirani.
9 years ago
Dewji Blog24 Oct
Mtoto hatumwi dukani leo, Ni katika ufungaji wa kampeni za CCM jijini Mwanza
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu (Pichani) amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya shughuli ya kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu kitaifa kwa upande wa Chama hicho inayotarajiwa kufanyika hii leo katika Uwanja wa CCM Kirumba yamekamilika.
Na:George Binagi-GB PazzoScreen kubwa itafungwa nje ya uwanja huo kwa ajili ya wale watakaokosa nafasi ya kuingia uwanjani kwa kuwa shughuli hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na Maeneo...
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Lowassa aaga Mwanza, kutikisa Mbeya
Na Fredy Azzah, Mwanza
ZIKIWA zimebaki siku nane kuanzia sasa kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amemaliza mikutano yake ya kampeni katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa kuwasisitiza wanachama wake kuhakikisha wanalinda kura zao.
Baada ya kumaliza ziara zake katika kanda hiyo, Lowassa, anayeungwa mkono na vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), leo anatarajia kuanza mikutano mkoani Mbeya.
Mkoa...
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Askofu aliyekabiliwa na kesi aaga dunia
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Mwanamuziki Percy Sledge aaga dunia
9 years ago
BBCSwahili07 Sep
Mama Mpalestina aliyechomwa aaga dunia
10 years ago
BBCSwahili15 May
Bingwa wa muziki wa Blues aaga dunia