MTOTO WA BECKHAM, SELENA WATABIRIWA KUWA ‘KAPO’ BORA
![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8bEGqfLQJNg-mcJVHdbS2hBkcQsPKhir9ewxSc8*u33YnWoE2KTnecFO8q-M4m*Dr9GoPkUAzkHZPlv2s4QNxxq/yy.jpg?width=650)
Brooklyn Beckham akiwa na Selena Gomez. New York, Marekani MTOTO wa mwanandinga wa zamani wa England, David Beckham, Brooklyn Beckham na Selena Gomez, wiki iliyopita walikuwa kwenye ‘fashion show’ moja huko New York, lakini kitendo cha kupiga picha yenye kuonyesha mahaba fulani, kimewafanya mashabiki wao kusema kama wangekuwa wapenzi, basi ‘kapo’ yao ingebamba. Brooklyn, 16, ambaye ni ‘first...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika …
Baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu kuhusu uongozi wa klabu ya Real Madrid kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao January 4, umetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu. Kufuatia kuteuliwa kwa Zidane […]
The post Baada ya David Beckham kusikia kuwa Zidane ameteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, haya ndio aliyoandika … appeared first on...
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Mtoto wa David Beckham asaini kucheza Arsenal
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h04tScqf3LaETxAsWpnnJwWB0c5ZckQ8O11SV1wD*5MM-3NJfdKCuAv7K9McGwsFQjWmh2XyUlsSI*4k-bO05LG*9L4gEgzS/EnglandvSwitzerland2.jpg?width=650)
MTOTO WA BECKHAM AWA ALAMA YA HESHIMA UINGEREZA IKICHEZA NA SWITZERLAND
9 years ago
Bongo509 Sep
David Beckham akanusha uvumi kuwa ana mpango wa kuigiza kama James Bond
9 years ago
Bongo505 Jan
David Beckham aonesha furaha yeke ya Zidane kuteuliwa kuwa kocha wa Real Madrid, huu ndo ujumbe alio andika
![1704013-36078683-2560-1440](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/1704013-36078683-2560-1440-300x194.jpg)
Baada ya klabu ya Real Madrid kutangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Rafael Benitez. Real Madrid walitangaza kumfuta kazi Benitez na Zidane kutajwa kurithi nafasi hiyo kwa muda hadi mwisho wa msimu.
Mchezaji mwenzake wa zamani David Beckham hakuweza kuficha kuonesha furaha yake kwa kupost picha yao ya zamani na ujumbe wenye kuoneshwa kufurahishwa na nguli huyo wa kifaransa kuchukua mikoba hiyoo.
“Unaweza kumpata mtu bora zaidi yake? mtu ambaye alikuwa bora kiwanjani na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cvuqcaB*oKhkLCRxZxT8xcFwlodtUJLn1IGG5fE9zMClz6619RRs9Nja7DIxHfABYQy5tsUPfkwwn9MvzfnamsF/CHUCHU.jpg)
CHUCHU AWACHARUKIA WANAOIPONDA ‘KAPO’ YAO
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
JK achaguliwa kuwa Rais Bora Afrika
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amechaguliwa kuwa kiongozi mwenye mchango mkubwa zaidi katika maendeleo barani Afrika kwa mwaka 2013. Heshima hiyo kwa Rais Kikwete imetolewa na...
9 years ago
Habarileo25 Sep
MO achaguliwa kuwa mfanyabiashara bora wa Afrika
MFANYABIASHARA kijana wa Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Ltd (MeTL), ametwaa tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika kwa mwaka huu akiwapiku washindani wenzake wanne akiwemo tajiri wa Afrika, Aliko Dangote.
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Tuelimishane kuwa walimu bora wa Kiswahili