Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUCHU AWACHARUKIA WANAOIPONDA ‘KAPO’ YAO

Stori: Imelda Mtema MALOVEE! Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans, amewashukia watu wanaoiponda ‘kapo’ yake na mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ na kusema hata iweje, mambo yao yatakwenda kama walivyopanga. Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans. Chuchu alisema katika maisha ya mwanadamu kama Mungu amepanga kitu siku zote kitatimia hivyo anaamini wanaopinga uhusiano wao kwa maneno ya chinichini na kwenye mitandao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka

Inasemekana penzi kati ya waigizaji  Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.

Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.

Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...

 

9 years ago

GPL

MTOTO WA BECKHAM, SELENA WATABIRIWA KUWA ‘KAPO’ BORA

Brooklyn Beckham akiwa na Selena Gomez. New York, Marekani
MTOTO wa mwanandinga wa zamani wa England, David Beckham, Brooklyn Beckham na Selena Gomez, wiki iliyopita walikuwa kwenye ‘fashion show’ moja huko New York, lakini kitendo cha kupiga picha yenye kuonyesha mahaba fulani, kimewafanya mashabiki wao kusema kama wangekuwa wapenzi, basi ‘kapo’ yao ingebamba. Brooklyn, 16, ambaye ni ‘first...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU


Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper  habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.

Weekend yako fanya kama unasahau stress za schedule vile na tupieni.

 

10 years ago

GPL

WASTARA AWACHARUKIA WANAOMTUSI MUMEWE

Stori Na:Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda MSANII mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Wastara Juma ameapa kumshtaki mtu atakayekamata kutokana na baadhi ya mashabiki kuwa na tabia ya kumtukana matusi ya nguoni mtandaoni huku wakimhusisha na marehemu mumewe, Sajuki. Msanii mkongwe katika gemu la filamu Bongo, Wastara Juma. Akizungumza na gazeti hili, Wastara alisema anajisikia vibaya baadhi ya mashabiki wanavyomtukana kwenye...

 

10 years ago

GPL

WEMA AWACHARUKIA WASANII WENYE MAJUNGU

Stori: Mayasa Mariwata MADAMUUU! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amecharuka na kudai anachukizwa kwa kiasi kikubwa na wasanii ambao wanapenda kumfanyia majungu kutokana na chuki zao binafsi. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Akipiga stori na paparazi wetu, Madam alisema anajua wapo wengi wanaomchukia kutokana na sababu zisizo za msingi kwa kudai kuwa anaringa na vyovyote vile...

 

10 years ago

Vijimambo

FAIZA AWACHARUKIA WANAOMPONDA KUVAA ‘PAMPERS’

Stori: Hamida Hassan wa GPLMzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ amewafungukia watu ambao wanamponda yeye kutinga na ‘pampers’ ukumbini na kusema kuwa hiyo ni moja ya maamuzi yake binafsi.Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ akipozi.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Faiza aliyetinga vazi hilo katika siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni, alisema kuvaa vile hafikiri kama kuna ubaya kwa mtu...

 

9 years ago

GPL

LULU AWACHARUKIA WANAOHOJI GHARAMA ZA UREMBO WAKE

Imelda mtema
STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’ Staa asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Lulu alisema amekuwa akiona maoni ya watu wengi mtandaoni wakihoji anapata wapi fedha za...

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu Awacharukia Hawa Kuhusu Gharama za Urembo Wake

STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’

Akizungumza  na mwandishi wa habari hii hivi karibuni,  Lulu alisema amekuwa akiona maoni ya watu wengi mtandaoni wakihoji anapata wapi fedha za kupendeza wakati yeye ni mwanafunzi hoja ambayo ameiona haina mashiko kwani yeye hatumii fedha nyingi katika urembo wake.

“Watu bwana! Ningekuwa niko rafu...

 

10 years ago

GPL

FAIZA AWACHARUKIA WANAOMPONDA KUVAA ‘PAMPERS’

Stori: Hamida Hassan
Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ amewafungukia watu ambao wanamponda yeye kutinga na ‘pampers’ ukumbini na kusema kuwa hiyo ni moja ya maamuzi yake binafsi. Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ‘Mama Sasha’ akipozi. Akizungumza na Ijumaa Wikienda,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani