Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu Awacharukia Hawa Kuhusu Gharama za Urembo Wake

STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’

Akizungumza  na mwandishi wa habari hii hivi karibuni,  Lulu alisema amekuwa akiona maoni ya watu wengi mtandaoni wakihoji anapata wapi fedha za kupendeza wakati yeye ni mwanafunzi hoja ambayo ameiona haina mashiko kwani yeye hatumii fedha nyingi katika urembo wake.

“Watu bwana! Ningekuwa niko rafu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

LULU AWACHARUKIA WANAOHOJI GHARAMA ZA UREMBO WAKE

Imelda mtema
STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’ Staa asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Lulu alisema amekuwa akiona maoni ya watu wengi mtandaoni wakihoji anapata wapi fedha za...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAMWITA LULU MICHAEL UMRI WAKE NA UREMBO WAKE NI SHIIIIIDA


Inasemekana ndio kwanza atatimiza miaka 20 soon lakini ukimwangalia kwenye picha uzuri wake na urembo ni shida kwa umri wake je unafikiri ingekuwa vizuri kuwa mke au andelee tu kuwa pambo na watu wazidi kutokwa na udenda kuliwinda penzi lake?. Huyo ndiyo Lulu Michael aliemzawadia mama yake nyumba kama zawaidi ya birthday hakika ni mrembo.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMA UREMBO NIKUOLEWA BASI HAWA WASHINDWE WENYEWE KUPATA WAUME KWANI NI WAREMBO HASWA.


Hamisa MobetoMeninah Abdulkareem
Hamisa MobetoLulu Michael
Pitia  picha za warembo hawa watatu na utakubari kuwa wanaurembo na kama wanatulia na kuolewa basi mume hawezi kuchelewa kurudi nyumbani.

Meninah AbdulkareemAdd captionLulu MichaelHamisa MobetoLulu MichaelMeninah la Diva

 

10 years ago

GPL

MKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!

Stori: Hamida Hassanna Gladness Mallya
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwami inayosaidia watu wasiojiweza na yatima, inayofanya kazi nchi za Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwami Rajabu ‘Mkongo’ ameibuka na madai mazito kwamba baada ya ‘kumalizana’ na mastaa wa Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid, kwa sasa anamtaka mwigizaji Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Mmoja Kati ya Hawa Akinichukia Ndio Nitapata Pressure, Lakini Wengine…..

Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael “Lulu” akiwa na familia yake, Mama na mdogo wake wanapata  ‘Lunch’  Aliweka picha hii mtandaoni na kuandika kuwa, kama ikitokea mmoja kati ya  wanafamilia hao, akimchukia ndio anaweza akapata ‘pressure’ lakini wengine wote hata wamchukie hawezi kujali na atatafuta njia ya kushughurika nao.

“Lunch thngz wth Family, Ikitokea mmoja kati ya hawa akanichukia ndo ntaweza kupata pressure....but the rest, I'll search 4 a Fck to give” Lulu...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA UREMBO YA MARY KAY, YATOA DARASA KWA WAFANYAKAZI WA KIKE WA VODACOM KUHUSU MATUMIZI YA VIPODOZI

Mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo ya (Mary Kay) Jacqueline Macha(kulia)akimremba Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu , Vodacom Tanzania,Joan Makwai,wakati wa mafunzo mafupi ya jinsi ya kutumia vipodozi vya kampuni hiyo yaliyoandaliwa na Idara ya Rasilimali watu ya Vodacom Tanzania,mahususi kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichagua vipodozi mbalimbali vya kampuni ya kimataifa...

 

11 years ago

Mwananchi

Nchemba, Polepole watofautiana kuhusu gharama za Shirikisho

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema vyanzo vya mapato vilivyopendekezwa katika Rasimu ya Katiba, havitoshi kuendesha Serikali ya shirikisho.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Atoa Tahadhari Kuhusu ya Matapeli Hawa

Tahadhari: kuna watu wametengeneza akaunti feki yenye picha zangu.na wanasema kwamba Jerusalem inahitaji wasanii wapya.na wanawapigia simu watu huku wakiwatoza kiasi cha tsh 45000 hadi laki kama ada ya kujiandikisha.watu hawa ni matapeli.na wamechukua hela nyingi kwa watu.jamani hatuna utaratibu huo na usikubali kutoa pesa...Fb watu wanaitumia vibaya sana..

By:JB on Instagram

 

10 years ago

Vijimambo

KUHUSU KUSAIDIA MICHEZO, WOTE HAWA WAMEDANGANYA TU


MAKAMBA
Na Saleh AllyCHAMA cha Mapinduzi (CCM), kiko katika harakati za mwisho kumpata mgombea wake wa urais na leo ndiyo tatu bora inajulikana.Tayari tano bora imeishajulikana ambayo ni Benard Membe, Asha-Rose Migiro, Januari Makamba, John Magufuri na Amina Ally.
Mgombea mmoja atatangazwa kesho na kitendawili cha nani atakuwa mgombea wa urais wa chama hicho kikongwe nchini kitakuwa kimetenguliwa, huenda itakuwa wakati wa kupongezana na kufutana machozi.Hayo tuwaachie wao wanasiasa, lakini si...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani