Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtu aliyetabiri mwisho wa dunia afariki

Kiongozi mmoja wa dini ambaye alipata umaarufu nchini Kenya kwa kutabiri mwisho wa dunia mwaka 2006 amefariki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

11 years ago

GPL

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MBARALI

MTEMBEA KWA MIGUU ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA JOFREY MWIDINDA (28) MKAZI MBUYUNI AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI IT 3818 AINA YA TOYOTA COROLA LILILOKUWA LIKIENDESHWANA FRANK NDEGA (30) MKAZI WA SINZA JIJINI DSM. TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 30.04.2014 MAJIRA YA SAA 06:30 ASUBUHI HUKO KATIKA KIJIJI CHA MBUYUNI, KATA YA MAPOGORO, TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA...

 

11 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MOMBA.

MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA BAKARI DAMSON(27) MKAZI WA MAJENGO AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI ADC 3671 AINA YA TOYOTA LAND CRUISER LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA FRANK MATHEW SIKONGA (29) MKAZI WA CHIPAKA.
TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 15.07.2014MAJIRA YA SAA 22:00 USIKU HUKO KATIKA MTAA WA MWAKA, KATA NA TARAFA YA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA. CHANZO CHA AJALI BADO KINACHUNGUZWA. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA KITUO CHA...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu mwenye umri mkubwa duniani afariki

Mtu aliyekuwa na umri mkubwa duniani kutoka nchini Japan amefariki wiki kadhaa baada ya kusherehekea miaka 117 tangu azaliwe.

 

9 years ago

StarTV

Ajali ya basi igunga Mtu mmoja afariki, 38 wajeruhiwa

 

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 kujeruhiwa baada ya Basi la Allys Coach lenye namba za usajili T 560 AKM lililokuwa likitokea Igunga kuelekea Mwanza kuyumba na kuanguka katika kijiji cha Igogo kata ya Nanga wilayani Igunga Mkoani Tabora.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12 na nusu asubuhi na chanzo chake kikidaiwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva kutaka kulipita gari la mizigo.

Ajali hizi zimekuwa zikigharimu maisha ya watu na wengine kuwaachia ulemavu wa kudumu,sababu zikielezwa ni...

 

10 years ago

StarTV

Mtu mmoja afariki, wengine 21 wajeruhiwa katika ajali Singida

 Na Emmanuel Michael, Singida.

MTU mmoja amefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Kosta walilokuwa wakisafiria kutoka Shinyanga kwenye harusi kurejea nyumbani Morogogo kupinduka mkoani Singida.

 

Ni wakati wa mwingine ambapo mkoa wa Singida umejawa na simanzi na huzuni baada ya kushuhudia mtu mmoja aliyepoteza maisha na wengi 21 wakilazwa kwa matibabu kutokana na ajali ya barabarani.

 

Mkuu wa Wilaya ya Singida Queen Mlozi ni miongoni mwa viongozi wa kwanza...

 

11 years ago

GPL

MWISHO WA DUNIA WATAJWA

Stori: Mwandishi Wetu na Mitandao
WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo...

 

11 years ago

GPL

MWISHO WA DUNIA DALILI ZAANZA

NA WAANDISHI WETU ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Full Gospel & Bible Fellowship (FGBF) lenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Zakaria Kakobe ameibuka na kuweka wazi kuwa kuonekana kwa Mwezi Mwekundu (Blood Moon),   Aprili 15, mwaka huu ni ishara kuu ya mwisho wa dunia kama maandiko yanavyosema katika Matendo 2:17-21, Uwazi linakumegea kwa kina. Askofu Kakobe aliyasema hayo juzi kufuatia tukio hilo lililojiri siku tano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani