Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtukaneni tu Tiffah lakini siku moja atakuja kuwa Rais wenu – Zari

1390136_571461176335149_767535782_n

Watu hawana haya – Kwa mujibu wa Zari the Bosslady, baadhi yao wamekuwa wakimporomoshea matusi mtoto wake aliyezaa na Diamond, Tiffah tangu alipozaliwa.

1390136_571461176335149_767535782_n

Lakini Zari ana habari kwa haters! Mrembo huyo wa Uganda anaamini kuwa siku moja watamheshimu mtoto wake sababu anamlea aje kuwa rais kama Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia!

10724204_805703839540696_697843755_n

“Matusi from day one even before she was born,” ameandika Zari kwenye Instagram.

“But she is here and strong enough to handle. Boss ladies use bricks thrown at them to...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Zari: Tiffah Atakuja Kuwa Raisi Wenu

Kufuatia tabia ya baadhi ya watu kuendelea kumporomoshea maneno machafu mototo wake Tiffah tangu hata hajazaliwa na hadi leo, Zari the boss Lady amewapasha watu hao kuwa Tiffah siku moja atakuaja kuwa rais na watamuheshimu kwani anamlea aje kuwa rais kama Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia.

Tiffah23

“Matusi from day one even before she was born. But she is here and strong enough to handle. Boss ladies use bricks thrown at them to build empires. And this right here is my future president in the making...

 

9 years ago

Bongo5

Zari asema wataionesha sura ya Tiffah baada ya siku…

Shauku kubwa ambayo mashabiki wa Diamond Platnumz na Zari the Boss Lady wako nayo kwa sasa ni kuiona sura ya mtoto wao wa kike Latiffah Naseeb a.k.a Princess Tiffah. Hii ni kutokana na maneno mengi ambayo yanaendelea hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, wengi wanahamu ya kujua mtoto anafanana na nani kati ya baba na […]

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU ZA DIAMOND KUWA NA ZARI ZINAHESABIKA

Licha ya vyombo vya habari Tanzania kuyapalilia mapenzi ya wawili hao, hali ni tofauti nchini Uganda ambako mapaparazi wamekuwa wakiibua mambo ya sirini ya msanii na mwanamama huyo tajiri nchini humo.Kikubwa kinachozungumziwa ni kuhusu tabia ya Zari kutoka na wanaume tofauti. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wa Zari ametangaza dau la Dola 40,000 kwa Diamond ili amwache dada huyoWASWAHILI wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka. Msemo huu unalandana na penzi la Zari ‘The Boss Lady’ na nyota...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND: ZARI AMEMHARIBU TIFFAH!

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
Musa mateja Kila kitu ukizidisha ni sumu! Ndivyo ilivyotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye anadaiwa kumtupia lawama mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuwa amemharibu mtoto wao, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ kwa kumzidishia vikorombwezo vya urembo, Ijumaa Wikienda limetonywa.  Zarinah Hassan ‘Zari The...

 

9 years ago

GPL

TIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI

Mwandishi Wetu
MVUTANO! Ndivyo unavyoweza kusema baada mastaa wapendanao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kujikuta wakipishana kauli kutokana na mvutano wa kibiashara unaohusu Sherehe ya Arobaini ya mtoto wao mchanga, Latiffah Nasibu ‘Tiffah’ ambaye amedhaminiwa Sh. Mil. 40 na makampuni mbalimbali yanayojishughulisha na bidhaa za watoto, Ijumaa...

 

9 years ago

Vijimambo

ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH


Na Hamida Hassan
DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.
Mtoto wa staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz, Tiffah.
Awali, Tiffah alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo siyo tatizo.
Hata hivyo, wakati Diamond akitoa ufafanuzi huo baada ya watu...

 

9 years ago

Mtanzania

Tiffah wa Diamond na Zari awekwa wazi

DIAMOND...NA CHRISTOPHER MSEKENA

SHEREHE za watoto wa mastaa katika fani mbalimbali nchini zinaendelea kushika chati, baada ya mtoto wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, Lattifah Abdul ‘Tiffah’ kufanyiwa sherehe kubwa jana.

Sherehe hiyo ilifanyika nyumbani kwa msanii huyo Tegeta kama baadhi ya mastaa waliowawahi kuwafanyia sherehe watoto wao walipozaliwa akiwemo, Zamaradi Mketema, Aunt Ezekiel, Mboni Masimba, Hbaba, Flora Mvungi na wengine wengi.

Wazazi wake wameweza kumficha sura...

 

9 years ago

GPL

ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH

Na Hamida Hassan DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.Awali, Tiffah alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo siyo tatizo. Mtoto wa staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz,...

 

9 years ago

Bongo5

Zari hawezi kuhamia Tanzania moja kwa moja — Diamond

Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa mrembo huyo Mganda kuhamia moja kwa moja Tanzania ili kutengezeza familia moja. Diamond a.k.a Baba Tiffah licha ya kuwa amekuwa akitoa ahadi ya kufunga ndoa na Zari bila kusema lini, amesema kuwa hakuna […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani