Mtwara wapewa Mafunzo ya Maafa
![](http://4.bp.blogspot.com/-BH9ckKfUtaM/VB0qL_rO8SI/AAAAAAAGkvs/3DA9liSy2vQ/s72-c/unnamed%2B(62).jpg)
Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa yatoa Mafunzo ya Dhana ya Maafa kwa wataalamu kutoka Halmashauri na Manispaa ya Mkoa wa Mtwara kwa ajili ya kuandaa Mpango wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa. Miongoni mwa masuala yanaoelezwa ni pamoja na, jinsi ya Kujiandaa na Maafa, Kukabili, Kuzuia na namna ya kurudisha hali baada ya Maafa kutokea.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pt7kPLUDsDw/VTnzf3Q8AhI/AAAAAAAHS1g/qZORA_cu_J8/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
Mtwara yapata Mkakati wa Mawasiliano wa Kukabiliana na Maafa
Ofisi ya waziri Mkuu kupitia Idara ya Uratibu wa Shughuli za maafa imewasilisha Mkakati wa Mawasiliano wa kukabiliana na maafa kwa mkoa wa Mtwara. Mkakati huo umetayarishwa kwa ajili ya kuhakikisha kwamba kunakuwa na Mtiririko unaoeleweka wa taarifa za tahadhari kabla ya maafa, wakati wa maafa na baada ya maafa kutokea.
Mkakati huo umezingatia majanga ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara na kusababisha madhara makubwa mkoani Mtwara. Majanga hayo ni; Ukame, mafuriko na mlipuko...
Mkakati huo umezingatia majanga ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara na kusababisha madhara makubwa mkoani Mtwara. Majanga hayo ni; Ukame, mafuriko na mlipuko...
10 years ago
MichuziOFISI YA WAZIRI MKUU, YATEMBELEA MAENEO YALIYOPATA MAAFA MTWARA.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KoM5m210ISQ/VCVqqT-BB8I/AAAAAAAGl-0/utXK2ooLQL0/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
WARSHA YA SIKU MBILI YA MASUALA YA MAAFA YAFUNGULIWA MKOANI MTWARA
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw. Wilman Ndile afungua Warsha ya Siku Mbili Wilayani Mtwara kuhusu “Mpango wa Kujikinga, Kukabiliana na Kuzuia athari za Maafa kwa Wilaya ya Mtwara leo tarehe 26 na 27 Septemba, 2014.
Wakati wa ufunguzi huo Bw. Ndile alisema Mpango huu utasaidia sana pindi maafa yatakapotokea na kuwaomba washiriki wa warsha hiyo kutoka Manispaa na Halmashauri ya Wilaya hiyo kushiriki vema katika mafunzo na kuchangia masuala hayo ili kuweza kukamilisha mpango huo ...
Wakati wa ufunguzi huo Bw. Ndile alisema Mpango huu utasaidia sana pindi maafa yatakapotokea na kuwaomba washiriki wa warsha hiyo kutoka Manispaa na Halmashauri ya Wilaya hiyo kushiriki vema katika mafunzo na kuchangia masuala hayo ili kuweza kukamilisha mpango huo ...
10 years ago
MichuziKILIMANJARO WAPATA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA YA UKAME
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Tanzania wapewa mafunzo ya Rugby
Rugby ni miongoni mwa michezo isiyo maarufu nchini Tanzania. Jitihada za kuendeleza mchezo huo zimekuwa zikifanyika.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YHgXNr2UuDc/VYP_LkTQJ0I/AAAAAAAHhbg/EkZF1FEZmcw/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
Watumishi wa umma kupata mafunzo ya maafa ya sehemu za kazi
Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa imeandaa mafunzo ya kujikinga na maafa kwa watumishi wa umma ili wapate uelewa wa mbinu za kujiandaa na kukabiliana na maafa hususan katika sehemu zao za kazi. Akiongea wakati wa Ufunguzi wa mafunzo ya menejimenti ya maafa mjini Dodoma leo.Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aliyewakilishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu, Obbey Assery, alieleza kuwa wameanza kutoa mafunzo hayo kwa watumishi wa...
10 years ago
Vijimambo12 Nov
WASAIDIZI WA KISHERIA 25 WAPEWA MAFUNZO RUNGWE.
9 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mbwa wapewa mafunzo maalum Rwanda
Kundi la vijana nchini Rwanda limeanzisha mradi wa kutunza mbwa kwa minajili ya masuala tofauti ya kusaidia na kuimarisha maisha
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania