Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbwa wapewa mafunzo maalum Rwanda

Kundi la vijana nchini Rwanda limeanzisha mradi wa kutunza mbwa kwa minajili ya masuala tofauti ya kusaidia na kuimarisha maisha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Makasisi wapewa kichapo cha Mbwa Guinea

Makasisi watatu wa kanisa la Baptist nchini Guinea wamechapwa na kisha kiuetkwa nyara baada ya wenyeji kudhania kwamba walikuwa maafisa wanaohamasisha jamii dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

 

9 years ago

GPL

TYGA, KYLIE WAPEWA ZAWADI YA MBWA WA DOLA 50,000

Staa wa muziki wa kufoka Tyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner. New York, Marekani
UHUSIANO ya staa wa muziki wa kufoka Tyga, 25, na Kylie Jenner, 18, umezidi kukolea baada ya wapendanao hao kuongezewa rafiki mwingine ambaye ni mbwa waliyepewa kama zawadi na Jeremy Greene, ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya PingTank, ambayo inajihusisha na mitandao ya kijamii. Wawili hao wamempa mbwa huyo jina la Rolly, wamekuwa wakizunguka...

 

9 years ago

StarTV

Mbwa maalum wapelekwa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kukabiliana na Ujangili

Vita ya kupambana na ujangili katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha na mikoa ya Kusini kwa jumla inaendelea kushika kasi ya aina yake baada ya Mbwa maalum wenye uwezo wa kunusa na kufuatilia nyendo za majangili kuletwa hifadhini hapo.

Kwa kuanzia, Mbwa wawili wameletwa na Hifadhi hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Wanyamapori la WCS linalotekeleza mradi wa hifadhi za wanyamapori katika hifadhi za Ruaha na Katavi.

Katika moja ya sehemu ya mabanda ya kulala wageni katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha,...

 

10 years ago

Michuzi

Mtwara wapewa Mafunzo ya Maafa

Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa yatoa Mafunzo ya Dhana ya Maafa kwa wataalamu kutoka Halmashauri na Manispaa ya Mkoa wa Mtwara kwa ajili ya kuandaa Mpango wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa. Miongoni mwa masuala yanaoelezwa ni pamoja na, jinsi ya Kujiandaa na Maafa, Kukabili, Kuzuia na namna ya kurudisha hali baada ya Maafa kutokea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania wapewa mafunzo ya Rugby

Rugby ni miongoni mwa michezo isiyo maarufu nchini Tanzania. Jitihada za kuendeleza mchezo huo zimekuwa zikifanyika.

 

9 years ago

Mwananchi

Bodaboda 400 wapewa mafunzo ya udereva

Babati. Waendesha bodaboda 425 wa Kata ya Endakiso wilayani Babati Mkoa wa Manyara wamekabidhiwa leseni na vyeti vya kuhitimu mafunzo ya udereva katika Taasisi ya Ant Poverty Enviromental Care (APEC).

 

10 years ago

Vijimambo

WASAIDIZI WA KISHERIA 25 WAPEWA MAFUNZO RUNGWE.

 Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Christopher Nyambaza, akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo wakati akifunga mafunzo ya wiki moja ya Wasaidizi wa kisheria yaliyotolewa na House of Peace. Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Amon Nyingi, akimkaribisha mgeni rasmi katika kufunga mafunzo ya wasaidizi wa kisheria. Mratibu wa Mafunzo ya Wasaidizi wa Kisheria, Dorothy Ndazi kutoka House of Peace akisoma taarifa kwa mgeni rasmi. Mmoja wa Wanafunzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

POLISI ZANZIBAR WAPEWA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU

Mratibu wa Mafunzo ya Haki za Binadamu kutoka Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Bi.Jina Mwinyi Waziri akiwakaribisha Maofisa Polisi katika Mafunzo ya Haki za Binadamu kwa Jeshi la Polisi .Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC Bi.Harusi Miraji Mpatani akimkaribisha Mgeni Rasmi Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame katika Mafunzo ya kuwajengea uwezo Polisi juu ya umuhimu wa kutunza Haki za Binadamu.Mgeni Rasmi Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame...

 

9 years ago

StarTV

Wanafunzi wapewa mafunzo ya kutetea haki za wanyama

Mkurugenzi mtendaji wa jumuiya ya utetezi na haki za wanyama Zanzibar Ali Abdalla Juma amesema kutoa mafunzo juu ya haki za wanyama kwa wanafunzi ni hatua muhimu ya kurithisha imani kwa jamii juu ya kufanya utetezi na kutokuwaadhibu wanyama kwa hali yeyote ile.

Mkurugenzi huyu anasema wameamua kushererhekea siku ya haki ya wanyama Dunia kwa kufanya Mdahalo kwa mashindano ya kutamka herufi mbali mbali kwa lugha ya kingereza takriban kwa skuli 19 za msingi na sekondari katika sentensi zenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani