Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTWRA KUMEKUCHA; HOTELI YA KISASA YA SHANGANI HOTEL APARTMENTS YAZINDULIWA RASMI

 Mandhari ya nje ya Hoteli ya Kisasa ya Shangani Hotel Apartments iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego usiku jana mjini Mtwara. Pia ulizinduliwa Mgahawa wa kisasa ambapo wageni waalikwa walifaidi kula chakula cha usiku kilichopikwa na wapishi waliobobea kwa mapishi yenye vionjo vya kila aina.
Wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa hoteli hiyo itakayozidi kuongeza hadhi ya Mji wa Mtwara ni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara, Seleman Mtalika na Mkuu wa Wilaya ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mtwara kumekucha; hoteli ya kisasa ya Shangani Hotel and Apartments yazinduliwa rasmi

 Mandhari ya nje ya Hoteli ya Kisasa ya Shangani Hotel Apartments iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego mjini Mtwara. Pia ulizinduliwa Mgahawa wa kisasa ambapo wageni waalikwa walifaidi kula chakula cha usiku kilichopikwa na wapishi waliobobea kwa mapishi yenye vionjo vya kila aina.

Wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa hoteli hiyo itakayozidi kuongeza hadhi ya Mji wa Mtwara ni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara, Seleman Mtalika na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara,...

 

11 years ago

Michuzi

M-DIASPORA CHEF ISSA AIBUKA NA KIOTA KIPYA CHA KISASA: HOTEL VICTORIA, SHANGANI WEST MTWARA

 HOTEL VICTORIA, ILIYO CHINI YA UONGOZI WA MDAU WA DIASPORA CHEF ISSA, IPO SHANGANI WEST MJINI MTWARA.  ILIFUNGULIWA RASMI TAREHE 14 FEB 2014 SIKU YA WAPENDANAO NA KUALIKA WATU ZAIDI YA 200. UNAWEZA KUPATA MAELEZO ZAIDI KWA http://www.hotelvictoria.me/ (JAPO BADO MATENGENEZONI)  VYUMBA SAFI CHAKULA SAFI NA UKARIMU WA HALI YA JUU. HOTEL NAMBA MOJA MTWARA KWA BEI YA KAWAIDA.
Chef Issa (shati la draught) akiwa na wafanyakazi wake pamoja na wageni hotelini hapo. Yeye ni mmoja wa wadau wa...

 

9 years ago

Habarileo

Hospitali ya kisasa yazinduliwa Dodoma

RAIS Jakaya Kikwete amezindua hospitali ya kisasa ya Benjamin Mkapa mjini hapa, ambayo pamoja na kuhudumia magonjwa yote, itakuwa maalumu kwa ajili ya matatizo yanayohusu figo, hususani kusafisha damu hadi kubadili figo.

 

10 years ago

Michuzi

Gold Zanzibar Beach hotel yaadhimisha miaka miwili ya hoteli hiyo

 Mkurugenzi Mkuu wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach hotel  Bw.  Andrea Lottle akishirikiana na Wafanyakazi wa hoteli hiyo wakisherehekea kwa kuzima mshumaa kuadhimisha miaka miwili ya hoteli hiyo iliofanyika katika ukumbi wao kNungwi Kwenda. Wageni wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach wakipata picha za kumbukumbu ya hafla hiyo ya sherehe za kutimia miaka miwili ya hoteli hiyo iliofanyika katika ukumbi wake kendwa Zanzibar.
 Msanii wa kitaliano Antonela Mignlore akionesha sanaa za utamaduni wa...

 

10 years ago

Habarileo

Treni ya kisasa yazinduliwa Dar es Salaam

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza akipeperusha bendera kuashiria kuanza kwa safari za treni ya kisasa katika Kituo cha Reli Dar es Salaam jana huku Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa nchi za Afrika Mashariki wakishuhudia. (Na Mpigapicha Wetu).TRENI nne za kisasa za mizigo mali ya Shirika la Reli nchini (TRL) zinazokwenda nchi nne za Ukanda wa Kati zimezinduliwa jana jioni Dar es Salaam kwenda kwenye nchi hizo, tukio lililoshuhudiwa na marais na wawakilishi wa nchi husika.

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAKO CHA BARAZA LA UONGOZI WA KANDA YA KASKAZINI -KATIKA HOTELI YA THE NEW ARUSHA HOTEL

  Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe Freeman A.Mbowe akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Mhe Israel Natse wakiwa wanaingia ukumbi wa JUMUIKA  Viongozi wa kuu wa Chadema Taifa pamoja na Kanda wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kikao cha baraza la kanda ya kaskazini kuanza
  Waheshimiwa wabunge wakiwa wanaimba wimbo wa Taifa  Katibu wa Kanda ya kaskazini Mhe Amani Golugwa akiwakaribisha wajumbe wa kikao cha baraza la Kanda ya Kaskazini , wajumbe wa kikao wametoka katika majimbo 33...

 

9 years ago

GPL

MAABARA YA KISASA YA TFDA YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mkuu wa Maabara ya Mikrobilojia wa  Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini, Dkt. Adelard Mtenga akitoa maelekezo ya vifaa vya maabara. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini, Hiiti Sillo akikata utepe kufungua mtambo huo. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Msaada kutoka Marekani, Kelly Hamblin. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya…

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS WAKANUSHA TAARIFA ZA KUWAKA MOTO KWA HOTEL HIYO

SEHEMU YA JENGO LA HOTEL HIYO LIONEKAVYO KWA NJE.MENEJA WA HOTEL HIYO BI.BEATRICE DALLARIS AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI,JUU YA  TAARIFA ZA UZUSHI ZILIZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMI KUWA HOTEL HIYO IMEUNGUA MOTO MAPEMA LEO JIJINI ARUSHA.
UTAWALA NA WAFANYAKAZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS IMESIKITISHWA KWA TAARIFA ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII KUHUSU KUWA HOTELI YETU INAWAKA MOTO NA KUSABABISHA USUMBUFU MKUBWA KWA WATU WA MKOA WETU, NDUGU NA JAMAA WA WAFANYAKAZI WA...

 

9 years ago

Michuzi

DODOMA KUMEKUCHA WIKI YA VIJANA KUZINDULIWA RASMI KESHO

 

Baadhi ya wakazi wakiwa katika Banda la Mkoa wa Tanga wakati wa maadhimisho ya 16 ya Wiki ya Vijana ambayo Kitaifa inafanyikia mkoani Dodoma. Maadhimisho ya Wiki ya Vijana uratibiwa na kusimamiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo chini ya Idara ya Maendeleo ya Vijana ambapo maadhimisho ya mwaka huu ni ya 16 tokea kuasisiwa kwake.Watoto wa Halaiki wakiwa katika maandalizi ya lala salama tayari kwa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kama walivyokutwa na mpiga picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani