Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gold Zanzibar Beach hotel yaadhimisha miaka miwili ya hoteli hiyo

 Mkurugenzi Mkuu wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach hotel  Bw.  Andrea Lottle akishirikiana na Wafanyakazi wa hoteli hiyo wakisherehekea kwa kuzima mshumaa kuadhimisha miaka miwili ya hoteli hiyo iliofanyika katika ukumbi wao kNungwi Kwenda. Wageni wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach wakipata picha za kumbukumbu ya hafla hiyo ya sherehe za kutimia miaka miwili ya hoteli hiyo iliofanyika katika ukumbi wake kendwa Zanzibar.
 Msanii wa kitaliano Antonela Mignlore akionesha sanaa za utamaduni wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR BEACH SOCCER KUCHEZWA KENDWA ROCK'S HOTEL BEACH

Na Andrew ChaleTAASISI ya  Mwangaza wa buradani Zanzibar  (Zanzibar Light Entertainment ) ya mjini Unguja,  Zanzibar, Imemtangaza rasmi  Hotel ya Kendwa Rocks  kuwa eneo litakapofanyika  michuano m aalum ya soka la ufukweni  lijulikanayo kama  (Zanzibar Beach Soccer Championship Bonanza) linalotarajiwa kufanyika Agosti  Mbili mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa yao hiyo  kwa vyombo vya habari, iliyotolewa na Mwandaaji wa michezo hiyo, Muslim Nassor ‘Jazzphaa’  ilieleza kuwa,  kamati ya...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS WAKANUSHA TAARIFA ZA KUWAKA MOTO KWA HOTEL HIYO

SEHEMU YA JENGO LA HOTEL HIYO LIONEKAVYO KWA NJE.MENEJA WA HOTEL HIYO BI.BEATRICE DALLARIS AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI,JUU YA  TAARIFA ZA UZUSHI ZILIZOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO YA KIJAMI KUWA HOTEL HIYO IMEUNGUA MOTO MAPEMA LEO JIJINI ARUSHA.
UTAWALA NA WAFANYAKAZI WA HOTELI YA NAURA SPRINGS IMESIKITISHWA KWA TAARIFA ZILIZOSAMBAA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII KUHUSU KUWA HOTELI YETU INAWAKA MOTO NA KUSABABISHA USUMBUFU MKUBWA KWA WATU WA MKOA WETU, NDUGU NA JAMAA WA WAFANYAKAZI WA...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fastjet yaadhimisha miaka miwili ya huduma nafuu kwa wasafiri wa anga

02_Plane_FeetUp_Clouds_HIGHRES-FINAL

Kampuni ya ndege ya fastjet, ambayo ni Kampuni yenye gharama nafuu kote Afrika, imeadhimisha miaka miwili ya kutoa usafiri wa anga barani Africa.

Fastjet ilianza biashara ya usafiri wa anga hapa Tanzania tarehe 29 Novemba 2012, ikifanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro na Mwanza kupitia ndege yake aina ya A319.

Tangu wakati huo, Fastjet imepanua wigo wa mtandao wake nchini Tanzania pamoja na kuanzishwa kwa njia yake ya tatu kwenda  Mbeya. Kwa sasa safari za Kimataifa za...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Green Waste Pro Ltd yaadhimisha sherehe ya kutimiza miaka miwili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa

1

Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam hususani kwenye manispaa ya Ilala.

2

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014.

3

  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala  Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI

Na Miza Kona - Maelezo Zanzibar  Wanafunzi wa vyuo na sekondari wameitaka jamii kuwa na mwamko wa kufuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya Hewa pamoja na kutembelea vituo hivyo ili kuweza kujua na kupata taarifa za mwenendo wa hali ya hewa Nchini.  Kauli hiyo wameitoa leo huko katika ofisi za Mamlaka hiyo ziliopo Uwanja wa Ndege Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, wamesema jamii imekuwa haina mwamko mzuri katika kufuatilia taarifa za hali ya hewa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hotel ya DoubleTree By Hilton ya Jijini Dar yafanya usafi wa mazingira yanayoizunguka hotel hiyo

DSC_0021

 Mkurugenzi mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania, Bw.Ian Mclachan (wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika ufukwe wa Bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree huku akishirikiana bega kwa bega na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Hoteli ya Double Tree By Hilton, Bw. Yehia Elmansoury (wa kwanza kushoto).(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog).  Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Double Tree by Hilton, Bw. Florenso Kirambata(kushoto) akifanya usafi wa...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MOTO ULIOTEKETEZA SEHEMU YA HOTELI YA PICOLO BEACH

Pichani juu ni taswira za sehemu ya Hoteli…

 

11 years ago

GPL

PICOLO BEACH HOTEL YAUNGUA MOTO

Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach ikiteketea kwa moto. Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe, Dar es Salaam kwa sasa  inateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa! Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi juu ya tukio hili! (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani