MUFINDI YASHIKA UKWANZA MKOANI IRINGA
Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ya Mkoani Iringa imeibuka mshindi wa kwanza kimkoa na kushika nafasi za juu kikanda na kitaifa, kati ya Halmashauri tano za Mkoa wa Iringa, baada ya kufanya vizuri zaidi wakati wa mbio za mwenge wa uhuru ulipokimbishwa Mkoani Iringa mnamo mwezi Juni mwaka huu.
Taarifa ya kitengo cha habari na mawasiliano cha Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imevitaja baadhi ya vigezo kati ya vigezo 10 vilivyoshindanishwa, kuwa ni pamoja na miradi yenye maslahi kwa umma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTASAF YAENDESHA MAFUNZO KWA WAWEZESHAJI WA UTAMBUZI WA KAYA MASKINI KATIKA WILAYA YA MUFINDI MKOANI IRINGA.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF unaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wawezeshaji wa utambuzi wa kaya maskini katika halmashauri kadhaa nchini. Zoezi hilo ni mwendelezo wa jitihada za TASAF za kunusuru kaya maskini nchini zoezi lililoanza mwaka uliopita kwa awamu katika maeneo mbalimbali nchini.
Miongoni mwa halmashauri ambako mafunzo hayo yanafanyika ni wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambako wawezeshaji hao watashiriki katika kuwapa mafunzo wadodosaji watakaofanya kazi ya tathmini...
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Wanawake Mufindi wamwangukia , Mwenyekiti wa UWT Mufindi Marcelina Mkini ubunge jimbo la Mufindi kusini
![](http://2.bp.blogspot.com/-u65NsD7QSYA/VWnTY5w_fEI/AAAAAAAB9Yw/gtg-Q74JniY/s640/DSC_0259.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-g4xGryBONpI/VWnSVrzOw2I/AAAAAAAB9YQ/2P4jJNZnBx8/s640/DSC_0245.jpg)
Na MatukiodaimaBLOG
WAKATI joto la uchaguzi mkuu likiendelea kushika kasi ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa wanachama wake kujitokeza kutia...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-u65NsD7QSYA/VWnTY5w_fEI/AAAAAAAB9Yw/gtg-Q74JniY/s72-c/DSC_0259.jpg)
WANAWAKE MUFINDI WAMWANGUKIA ,MWENYEKITI WA UWT MUFINDI MARCELINA MKINI UBUNGE JIMBO LA MUFINDI KUSINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-u65NsD7QSYA/VWnTY5w_fEI/AAAAAAAB9Yw/gtg-Q74JniY/s640/DSC_0259.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-g4xGryBONpI/VWnSVrzOw2I/AAAAAAAB9YQ/2P4jJNZnBx8/s640/DSC_0245.jpg)
WAKATI joto la uchaguzi mkuu likiendelea kushika kasi ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) kwa wanachama wake kujitokeza kutia nia ya kuwania urais...
10 years ago
Dewji Blog24 May
SAGCOT yashika kasi kongani mwa Ihemi — Iringa na Njombe
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Dk. Rehema Nchimbi akifungua kikao kazi cha biashara ya kilimo kwa kongani ya Ihemi iliyoandaliwa na SAGCOT (Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania) kwa ushirikiano na UONGOZI Institute (Taasisi ya Uongozi Afrika kwa Maendeleo Endelevu) Iringa mjini. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Kilimo wa TCCIA Bi. Magadalena Mkocha, Mwenyikiti wa Bodi ya Agricultural Council of Tanzania Dk. Sinare Y. Sinare, DC wa Iringa Mh. Angeline Mabula, DC wa...
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Miili 23 ya ajali ya basi la Another G na lori Mufindi Iringa yatambuliwa
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Bi Mboni Mhita (kushoto) akimfariji mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya basi la Another G na lori iliyoua 23 na kujeruhi 34 jana, wengine pichani ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama...
10 years ago
VijimamboMIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA YATAMBULIWA
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki
MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.
Msanii huyo Richard Kayombo ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA CHANJO YA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 WILAYA YA MUFINDI MKOA WA IRINGA WAFANYIKA
10 years ago
MichuziMkuu wa wilaya ya Mufindi amewataka wakazi wa mkoa wa Iringa kuwa walinzi namba moja dhidi ya wenyetabia ya kuharibu mazingira
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya habari na mawasiliano ya Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Imetanabasha kuwa, mkuu wa wilaya ameyasema hayo kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani yaliyofanyika kimkoa katika kijiji cha Vikula Wilayani Mufindi...