Multchoice yawapiga msasa wanahabari jijini Dar
CNN wakishirikiana na multichoice wafungua semina kwa waandishi wa habari juu ya nini kifanyike ili waandishi wa habari kutoka Tanzani waweze kufanya vizuri katika tuzo za mwandishi bora wa Africa tuzo ambazo mwaka huu zitafanyika Tanzania. Semina hiyo imefanyika jana katika hoteli ya New Africa Hoteli jijini Dar es Salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-HuObCAjecro/VD-u1QkHnOI/AAAAAAAGq4o/vyaHLOnZlHU/s1600/MMGM1254.jpg)
Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini, Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za “CNN MultiChoice African Journalist of the...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNHIF YAWAPIGA MSASA WAKOREA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziPPRA YAWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WA TIA KUHUSU SHERIA MPYA YA MANUNUZI JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog07 Apr
ZAPDD yawapiga msasa wanahabari Zanzibar juu ya kutete watu wenye ulemavu wa akili PDD
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Ally Uki katikati akitoa mada katika Semina ya kuwajengea Uwezo Wanahabari. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watu wenye Ulemavu wa Akili Zanzibar (ZAPDD) Juma Salim Juma na kulia ni Mdau kutoka ZAPDD Khalid A Omar. Semina hiyo ilidhaminiwa na Mwenvuli wa Asasi za Kiraia.
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar
Waandishi wa habari nchini wameazimia kuboresha Fani ya Uandishi na Utayarishaji wa Vipindi Vinavyohusu Watu wenye Ulemavu wa Akili ili...
9 years ago
MichuziTWIGA CEMENT YAWAPIGA MSASA WAFYATUA TOFALI JIJINI MWANZA
10 years ago
Habarileo09 Apr
UTT yawapiga msasa ALAT
TAASISI ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTTPID), imeanza kutoa elimu ya umuhimu wa mipango miji kwa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ili kuepusha ujenzi holela unaoendelea katika baadhi ya maeneo nchini.
10 years ago
Mtanzania15 Jun
ZEC yawapiga msasa vijana Z’bar
Na Is-haka Omar, Zanzibar
TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewataka vijana kutambua haki yao ya kushiriki kwa ukamilifu katika Uchaguzi Mkuu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanalinda amani ya nchi.
Rai hiyo ilitolewa jana na Kamishna wa ZEC, Ayoub Bakar Hamad, katika Kongamano la Vijana na Uchaguzi mjini Unguja.
Alisema utafiti mbalimbali unaonyesha kuwa katika uchaguzi uliopita kundi la vijana limekuwa likitumiwa wanasiasa kuvuruga uchaguzi na kukiuka taratibu zilizowekwa na tume...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Serikali yawapiga msasa madereva wanaosafirisha kemikali
Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samweli Manyele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mdereva wa magari yanayosafirisha kemikali ndani na nje ya nchi, mafunzo yanayolenga kuwajengea uwezo wa usafirishaji salama wa kemikali za viwandani na Majumbani. Katikati ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Bw. George Kasinga toka ofisi hiyo na wa mwisho kulia ni Meneja wa Kanda ya Mashariki Bw. Daniel Ndiyo.
Frank Mvungi-Maelezo
Serikali inaendelea kuimarisha mifumo yausafirishaji wa Kemikali ndani na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yAzd8f9cfeQ/Xk4Vq3uHa4I/AAAAAAALeao/Tvjqddjtgiosqlwg4BMPv4TgT4f9kL1IQCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
GCLA YAWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA KEMIKALI KANDA YA MASHARIKI
Mafunzo hayo yaliandaliwa na Kanda ya Mashariki ya siku mbili, yalifungwa rasmi na Kaimu Mkemia Mkuu wa Serikali, Sabanitho Mtega, katika ukumbi wa TACAIDS Dae es Salàam.
Kaimu mkemia mkuu wa Serikali, Mtega amewataka kutumia elimu waliyoipata katika kusimamia kwa umakini matumizi ya...
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
TASWA yawapiga msasa waandishi wa habari za michezo nchini
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, akimkabizi cheti Rajabu Mhamila baada ya mafunzo ya uhandishi wa habari kulia ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto na Katibu Mkuu wa Mchezo wa Riadha nchini Suleiman Nyambu … (RT)
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kulia akibadilishana mawazo na mwalimu wake wa habari za michezo Salim Said Salim wakati wa mapumziko mafupi ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Taswa jana.
Baadhi ya waandishi...