MUME ASIFIA PENZI LA MISS TANZANIA
![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLRkqqesRxpJI50v55EgoBhle4bCNagf8TB*qOihQhCKTxQJr1V8kUzuM*4R4NdbV0AoPS1hSP5JT2mrhmfwRJj7/SALHA.jpg?width=650)
Imelda Mtema/mchanganyiko ALIYEKUWA mume wa mwanamitindo maarufu Bongo, Jacqueline Patrick, ambaye kwa sasa yuko jela nchini China, Abdulatif Fundikira amesifu penzi analopata kutoka kwa mkewe ambaye alikuwa Miss Tanzania 2010, Salha Israel. Miss Tanzania 2010, Salha Israel siku ya ndoa yake. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, kijana huyo maarufu kama Tiff, alisema hajawahi kujua utamu wa ndoa kama sasa kwani mapenzi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnVZ5sg4fK2f2TeK2LkMJ6GqsExjYADxg*twtG7aFwk6yM4AJM6Oc2I65c59GOejnkcAzRPGgLYT7AQGXC12oiu4/aunti.jpg)
AUNT EZEKIEL: NITAHAKIKISHA NAMPA PENZI MUME WA MTU
9 years ago
Bongo506 Nov
Uhuru Kenyatta asifia demokrasia ya Tanzania
![11207351_1166208840074334_7111082718879989795_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11207351_1166208840074334_7111082718879989795_n-300x194.jpg)
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameipongeza Tanzania kwa namna ilivyoonesha ukomavu katika demokrasia baada ya uchaguzi.
Kenya alikuwa mmoja wa viongozi wa Afrika waliohudhuria kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Kenyatta ameandika:
I joined other Heads of State and Government for a state luncheon at State House gardens in Dar es Salaam following a colourful swearing-in ceremony of Dr. John Pombe Magufuli as the fifth...
11 years ago
Habarileo03 Jul
Kikwete asifia uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini
RAIS Jakaya Kikwete amesifia uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini, akisema haujapata kuwa mzuri zaidi ya ulivyo sasa.
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png?width=640)
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe7Tcl-OiU5yBg-*T*5gtNjycqoJBkM555sM4saJI97Xzlj81QuC9j8GwY7BTkSDYAsknxJQGQLM8WBbJdNSxaof/FRONTAMANI1.jpg)
HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK
10 years ago
Vijimambo22 Oct
CHETI CHA KUZALIWA CHA MISS TANZANIA KILITOLEWA SIKU 4 KABLA YA KAMBI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA KUANZA
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Sitti-Mtevu--0ctober22-2014.jpg)
Mkurugenzi wa kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kulia) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu kilichoandikwa amezaliwa mwaka 1991 wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Picha: Omar Fungo
Sakata la umri halisi wa mrembo mpya wa Tanzania mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu bado linaendelea kuchukua sura mpya baada ya mshindi huyo wa taji la taifa kuwasilisha cheti cha kuzaliwa ambacho kimetolewa siku...