MUNGU AKUTETEENI WAPENDWA MRUDI MUWE KAMA ZAMANI
![](http://img.youtube.com/vi/b_tdegyYbyA/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Oct
'Askofu muwe na hofu ya Mungu'
VIONGOZI wa Serikali nchini wameaswa kuwa na hofu ya Mungu wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku katika kuwaletea maendeleo wananchi na kwamba kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa hapa nchini viongozi wanaohitajika ni wale wenye kiu na njaa ya usawa na haki katika matumizi ya rasilimali.
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCwCAnSr46qVSIH9K37*XqsI4YNqZ66UKGqFgelbGa9f359c7-Gnd5i4aWE1yCSx3rJZXCrPlmtqmFi9mb61ne7P/jb.jpg)
JB NAWEZA KUWA KAMA ZAMANI
MKONGWE wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amefunguka kwamba anaweza kuuweka kando ubonge na kurejea kwenye muonekano wake wa zamani kama atatakiwa kuwa hivyo. Mkongwe wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ akila tizi. JB aliyasema hayo alipoulizwa kuhusiana na picha yake ya zamani inayomuonesha akiwa mwembamba sana tofauti na ubonge alionao sasa ambapo alijitetea kwamba yeye ni msanii na filamu ndizo...
10 years ago
Habarileo10 Dec
‘Jihadharini na wanaotumia injili ya Mungu kama biashara’
KATIBU Mkuu wa Kanisa la EAGT Tanzania, Brown Mwakipesile amewataka waumini kujihadhari na watu wanajidai kuwa watumishi wa Mungu ambao wanaitumia injili kama biashara.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYjVHt7jDR72OwpHVdeKMIaK9gW2Zyd7vLR8pjP-MO4isqXd4z4CQAdRmTDP1m1dYXpJJ9eBBoQ5-OyoDfbkk-x7/mrembo.jpg)
MREMBO ALILIA MILIONI TANO ILI AWE KAMA ZAMANI
Stori: Imelda Mtema MSICHANA Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75 na kumsababishia maumivu makali, anahitaji kiasi cha shilingi 5,000,000Â ili aweze kufanyiwa upasuaji nchini India. Msichana Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75. Uvimbe huo unaomfanya alie kila mara...
10 years ago
Vijimambo23 Sep
MREMBO ALILIA MILIONI TANO ILI AWE KAMA ZAMANI
MSICHANA Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75 na kumsababishia maumivu makali, anahitaji kiasi cha shilingi 5,000,000 ili aweze kufanyiwa upasuaji nchini India.Msichana Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75.Uvimbe huo unaomfanya alie kila mara uliifanya Kampuni ya Global Publishers kwa kushirikiana na Kipindi cha Mimi na...
10 years ago
Bongo512 Mar
Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani
Matonya amesema sababu kubwa iliyomfanya apotee kwenye muziki na nyimbo zake za sasa kutofanya vyema kama mwanzo ni kukosa uongozi mzuri wa kumsimamia. Matonya ameambia Bongo5 kuwa muziki wa sasa hivi upo tafauti na ule wa zamani uliokuwa hauhitaji mambo mengi kama muziki wa sasa. “Tatizo kubwa kadri siku zinapozidi kwenda wasanii tunazidi kuwa wengi, […]
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnV5uSvU5PzrcXqmcagXSe9xMTxb7HHyISeoNQIs0DGg768X2ki*VpMy4Wd4xUIVnwHSjRTa2iWuFxgYpA-Hb2Ww/watoto.jpg)
KAMA WEWE UMEJIFUNGUA SALAMA, MTOTO WAKO NI MZIMA MSHUKURU MUNGU
Makala Makongoro Oging’
DUNIANI kuna mengi kiasi kwamba kama mama umebeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua mtoto salama na mtoto wako ni mzima unapaswa kumshukuru Mungu kwani kuna watu ambao wanapata usingizi wa mang’amung’amu kutokana na mateso ya watoto wao. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3) akilia kwa maumivu anayoyapata. Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3), mkazi wa Kijiji cha Kamala, Kata...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GEUGezH-viQ/default.jpg)
Hakuna Mungu kama wewe (c)BaylorMensChoir University of Baylor "Flash Mob 2014"
Haki zote za video zinamilikiwa (c) BaylorMensChoir University of Baylor
Ibada ya Kiswahili Maalum ya Mavuno – Jumamosi, Novemba 29, 2014 * Hakuna Mungu kama wewe!** Mshukuruni Mungu kwa yote! *
Ibada ya Kiswahili Maalum ya Mavuno – Jumamosi, Novemba 29, 2014 * Hakuna Mungu kama wewe!** Mshukuruni Mungu kwa yote! *
![Usikose Ibada ya Mavuno Jumamosi Novemba 29, 2014 Karibu na Umkaribishe Rafiki!!!](https://scontent-2.2914.fna.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/p235x350/10300972_816444875081158_5417317540849498454_n.jpg?oh=cf306d0e44ca9093b14a75bee5634c20&oe=54D5972A)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania