Mungu Kwanza kutambulishwa leo
TAMASHA la nyimbo za Injili lililopewa jina la ‘Red Carpet; linatarajiwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Urafiki jijini Dar es Salaam kesho, likiwa na lengo la kulitambulisha kundi la Mungu Kwanza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Dec
Video Mpya ya Ben Pol ‘Ningefanyaje’ kutambulishwa kwa mara ya kwanza SoundCity Tv Nigeria Dec.12
Ben Pol amezianza rasmi mbio za kuelekea safari yake ya kimataifa, kwanza kwa kufanikiwa kushoot video yake ya kwanza na director wa nje, Justin Campos wa Afrika Kusini, na sasa video hiyo imepewa baraka za kutambulishwa na kituo kikubwa cha runinga cha Nigeria, SoundCity TV.
Video ya ‘Ningefanyaje’ aliyomshirikisha muimbaji mrembo wa Kenya, Avril pamoja na Rossie M itatambulishwa kwa mara ya kwanza Jumamosi Dec.12 kwenye kipindi cha Top 10 East saa tano asubuhi saa za Afrika...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Mrithi wa MCD Twanga kutambulishwa Mzalendo Pub leo
BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa leo itafanya onyesho la aina yake katika kusherehekea Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama jijini Dar es...
10 years ago
GPLAMANDA STAREHE KWANZA, MUNGU BAADAYE
9 years ago
Bongo517 Dec
Wimbo mpya wa Chege aliomshirikisha Runtown wa Nigeria kutambulishwa leo (Dec.17) na MTV Base
Ni muda mrefu umepita toka msanii kutoka TMK, Chege Chigunda aanze kuzunguzia kuwa anafanya collabo na msanii wa Nigeria, Runtown na Uhuru wa Afrika Kusini – Sweety Sweety, na hatimaye sasa video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini hivi karibuni itatambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base.
Video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films itaoneshwa kwenye Spanking New ya MTV Base Ahamisi Dec. 17, 2015 saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki).
Chege anaongezeka kwenye...
11 years ago
Dewji Blog28 May
10 years ago
VijimamboMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
10 years ago
GPLMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
10 years ago
Vijimambo